Luka 21

Sadaka ya mama mjane 1 Yesu alitazama kwa makini, akawaona matajiri walivyokuwa wanatia sadaka zao katika hazina ya hekalu, 2 akamwona pia mama mmoja mjane akitumbukiza humo sarafu mbili ndogo….

Luka 22

Mpango wa kumwua Yesu 1 Sikukuu ya mikate isiyotiwa chachu, iitwayo Pasaka, ilikuwa inakaribia. 2 Makuhani wakuu na waalimu wa sheria wakawa wanatafuta njia ya kumwua Yesu, lakini waliwaogopa watu….

Luka 23

Yesu anapelekwa kwa Pilato 1 Kisha, wote kwa jumla, wakasimama, wakampeleka Yesu mbele ya Pilato. 2 Wakaanza kumshtaki wakisema: “Tulimkuta mtu huyu akiwapotosha watu wetu, akipinga kulipa kodi kwa Kaisari…

Luka 24

Kufufuka kwa Yesu 1 Jumapili, alfajiri na mapema, wale wanawake walikwenda kaburini wakichukua yale manukato waliyotayarisha. 2 Walikuta lile jiwe limevingirishwa mbali na kaburi. 3 Walipoingia ndani, hawakuuona mwili wa…

Yohane 1

Neno akawa mwanadamu 1 Hapo mwanzo, Neno alikuwako; naye alikuwa na Mungu, naye alikuwa Mungu. 2 Tangu mwanzo Neno alikuwa na Mungu. 3 Kwa njia yake vitu vyote viliumbwa; hakuna…

Yohane 2

Harusi mjini Kana 1 Siku ya tatu kulikuwa na harusi mjini Kana, mkoani Galilaya. Mama yake Yesu alikuwapo, 2 naye Yesu alikuwa amealikwa harusini pamoja na wanafunzi wake. 3 Divai…

Yohane 3

Yesu na Nikodemo 1 Kulikuwa na kiongozi mmoja Myahudi, wa kikundi cha Mafarisayo, jina lake Nikodemo. 2 Siku moja Nikodemo alimwendea Yesu usiku, akamwambia, “Rabi, tunajua kwamba wewe ni mwalimu…

Yohane 4

Yesu na mwanamke Msamaria 1 Mafarisayo walisikia kwamba Yesu alikuwa anabatiza na kuwapata wanafunzi wengi kuliko Yohane. 2 (Lakini ukweli ni kwamba Yesu hakuwa anabatiza ila wanafunzi wake.) 3 Basi,…

Yohane 5

Yesu anamponya mtu karibu na bwawa la maji 1 Baada ya hayo kulikuwa na sikukuu ya Wayahudi, naye Yesu akaenda Yerusalemu. 2 Huko Yerusalemu, karibu na mlango uitwao Mlango wa…

Yohane 6

Yesu anawapa chakula watu elfu tano 1 Baada ya hayo, Yesu alivuka ziwa Galilaya (au ziwa Tiberia). 2 Umati mkubwa wa watu ulimfuata kwa sababu watu hao walikuwa wameona ishara…