Yohane 7

Yesu na ndugu zake 1 Baada ya hayo, Yesu alikuwa akitembea huko Galilaya. Hakutaka kutembea mkoani Yudea kwa sababu viongozi wa Wayahudi walikuwa wanataka kumuua. 2 Sikukuu ya Wayahudi ya…

Yohane 8

1 Lakini Yesu akaenda kwenye mlima wa Mizeituni. 2 Kesho yake asubuhi na mapema alikwenda tena hekaluni. Watu wote wakamwendea, naye akaketi akawa anawafundisha. 3 Basi, waalimu wa sheria na…

Yohane 9

Yesu anamponya mtu aliyezaliwa Kipofu 1 Yesu alipokuwa akipita alimwona mtu mmoja, kipofu tangu kuzaliwa. 2 Basi, wanafunzi wakamwuliza, “Mwalimu! Ni nani aliyetenda dhambi: Mtu huyu, ama wazazi wake, hata…

Yohane 10

Mchungaji mwema 1 “Kweli nawaambieni, yeyote yule asiyeingia katika zizi la kondoo kwa kupitia mlangoni, bali hupenya na kuingia kwa njia nyingine, huyo ni mwizi na mnyanganyi. 2 Lakini anayeingia…

Yohane 11

Kifo cha Lazaro 1 Mtu mmoja aitwaye Lazaro, mwenyeji wa Bethania, alikuwa mgonjwa. (Kijiji cha Bethania kilikuwa mahali walipokaa Maria na Martha, dada yake. 2 Maria ndiye yule aliyempaka Bwana…

Yohane 12

Yesu anapakwa marashi 1 Siku sita kabla ya sikukuu ya Pasaka, Yesu alifika Bethania alikoishi Lazaro ambaye Yesu alikuwa amemfufua kutoka wafu. 2 Huko walimwandalia chakula cha jioni, naye Martha…

Yohane 13

Yesu anawaosha mitume miguu 1 Ilikuwa siku kabla ya sikukuu ya Pasaka. Yesu alijua kwamba saa yake ya kuondoka ulimwenguni na kwenda kwa Baba ilikuwa imefika. Alikuwa amewapenda daima watu…

Yohane 14

Yesu njia ya kwenda kwa Baba 1 Yesu aliwaambia, “Msifadhaike mioyoni mwenu. Mwaminini Mungu, niaminini na mimi pia. 2 Nyumbani mwa Baba yangu mna makao mengi; kama isingekuwa hivyo, ningalikwisha…

Yohane 15

Yesu mzabibu wa kweli 1 “Mimi ni mzabibu wa kweli, na Baba yangu ndiye mkulima. 2 Kila tawi ndani yangu lisilozaa matunda yeye huliondoa, na kila tawi lizaalo hulisafisha lipate…

Yohane 16

1 “Nimewaambieni hayo kusudi msiiache imani yenu. 2 Watu watawafukuza nyinyi katika masunagogi yao. Tena, wakati unakuja ambapo kila atakayewaua nyinyi atadhani anamhudumia Mungu. 3 Watawatendeeni mambo hayo kwa sababu…