Matendo 6

Wasaidizi saba wa mitume 1 Baadaye, idadi ya wanafunzi ilipokuwa inazidi kuongezeka, kulitokea manunguniko kati ya waumini walioongea Kigiriki na wale walioongea Kiebrania. Wale walioongea Kigiriki walinungunika kwamba wajane wao…

Matendo 7

Hotuba ya Stefano 1 Basi, kuhani mkuu akamwuliza, “Je, mambo haya ni kweli?” 2 Naye Stefano akasema, “Ndugu zangu na akina baba, nisikilizeni! Mungu alimtokea babu yetu Abrahamu alipokuwa kule…

Matendo 8

1 Saulo naye alikiona kitendo hicho cha kumwua kuwa sawa. Kanisa linaanza kuteswa Siku hiyo kanisa la Yerusalemu lilianza kuteswa vibaya. Waumini wote, isipokuwa tu wale mitume, walilazimika kutawanyika katika…

Matendo 9

Kuongoka kwa Saulo 1 Wakati huo Saulo alikuwa akizidisha vitisho vikali vya kuwaua wafuasi wa Bwana. Alikwenda kwa kuhani mkuu, 2 akaomba apatiwe barua za utambulisho kwa masunagogi ya Kiyahudi…

Matendo 10

Petro na Kornelio 1 Kulikuwa na mtu mmoja huko Kaisarea aitwaye Kornelio, jemadari wa kikosi kimoja kiitwacho “Kikosi cha Italia.” 2 Alikuwa mtu mwema; naye pamoja na jamaa yake yote…

Matendo 11

Taarifa ya Petro kwa kanisa la Yerusalemu 1 Mitume na ndugu kule Yudea walisikia kwamba watu wa mataifa mengine pia walikuwa wamelipokea neno la Mungu. 2 Basi, Petro aliporudi Yerusalemu,…

Matendo 12

Kanisa linadhulumiwa zaidi 1 Karibu wakati huohuo, mfalme Herode alianza kuwatesa baadhi ya Wakristo. 2 Alimuua kwa upanga Yakobo, ndugu yake Yohane. 3 Alipoona kuwa kitendo hicho kiliwapendeza Wayahudi, aliendelea,…

Matendo 13

Barnaba na Saulo wanateuliwa na kutumwa 1 Katika kanisa la Antiokia kulikuwa na watu wengine waliokuwa manabii na waalimu; miongoni mwao wakiwa Barnaba, Simoni aitwaye pia Mweusi, Lukio wa Kurene,…

Matendo 14

Paulo na Barnaba huko Ikonio 1 Kule Ikonio, mambo yalikuwa kama yalivyokuwa kule Antiokia; Paulo na Barnaba walikwenda katika sunagogi la Wayahudi wakaongea kwa uhodari hata Wayahudi wengi na Wagiriki…

Matendo 15

Mkutano maalumu wa kanisa Yerusalemu 1 Basi, watu wengine walifika Antiokia kutoka Yudea wakaanza kuwafundisha wale ndugu wakisema, “Kama hamtatahiriwa kufuatana na mapokeo kama alivyoamuru Mose, hamtaweza kuokolewa.” 2 Jambo…