Matendo 16

Timotheo anajiunga na Paulo na Sila 1 Paulo alifika Derbe na Lustra, ambako aliishi mfuasi mmoja aitwaye Timotheo. Mama yake ambaye pia alikuwa mfuasi, alikuwa Myahudi; lakini baba yake alikuwa…

Matendo 17

Fujo Thesalonike kutokana na mahubiri 1 Kwa kupitia Amfipoli na Apolonia, walisafiri mpaka Thesalonike ambako kulikuwa na sunagogi la Wayahudi. 2 Paulo alijiunga nao kama ilivyokuwa desturi yake, akajadiliana nao…

Matendo 18

Paulo kule Korintho 1 Baada ya hayo, Paulo aliondoka Athene, akaenda Korintho. 2 Huko Korintho, alimkuta Myahudi mmoja aitwaye Akula, mzaliwa wa Ponto. Akula pamoja na mkewe aitwaye Priskila, walikuwa…

Matendo 19

Paulo anahubiri kule Efeso 1 Wakati Apolo alipokuwa Korintho, Paulo alisafiri sehemu za bara, akafika Efeso ambako aliwakuta wanafunzi kadhaa. 2 Akauliza, “Je, mlipopata kuwa waumini mlipokea Roho Mtakatifu?” Nao…

Matendo 20

Paulo anakwenda tena Makedonia na Ugiriki 1 Ile ghasia ya Efeso ilipokwisha tulia Paulo aliwaita pamoja wale waumini, akawatia moyo. Kisha akawaaga, akasafiri kwenda Makedonia. 2 Alipitia sehemu za nchi…

Matendo 21

Safari ya Paulo kwenda Yerusalemu 1 Tulipokwisha agana nao, tulipanda meli tukaenda moja kwa moja mpaka Kosi. Kesho yake tulifika Rode, na kutoka huko tulikwenda Patara. 2 Huko, tulikuta meli…

Matendo 22

1 “Ndugu zangu na akina baba, nisikilizeni sasa nikijitetea mbele yenu!” 2 Waliposikia akiongea nao kwa Kiebrania wakazidi kukaa kimya zaidi kuliko hapo awali. Naye Paulo akaendelea kusema, 3 “Mimi…

Matendo 23

1 Paulo aliwakodolea macho wale wanabaraza, halafu akaanza kusema, “Ndugu zangu, mpaka hivi leo nimekuwa nikiishi na dhamiri njema mbele ya Mungu.” 2 Hapo kuhani mkuu Anania akaamuru wale waliokuwa…

Matendo 24

Wayahudi wanamshtaki Paulo 1 Baada ya siku tano, kuhani mkuu Anania aliwasili Kaisarea pamoja na wazee kadhaa na wakili mmoja wa sheria aitwaye Tertulo. Walimwendea yule mkuu wa mkoa wakamweleza…

Matendo 25

Paulo anakata rufani kwa Kaisari 1 Siku tatu baada ya kufika mkoani, Festo alitoka Kaisarea, akaenda Yerusalemu. 2 Makuhani wakuu pamoja na viongozi wa Wayahudi walimpa habari kuhusu mashtaka yaliyokuwa…