Matendo 26

Paulo anajitetea mbele ya Agripa 1 Basi, Agripa akamwambia Paulo, “Unaruhusiwa kujitetea.” Hapo Paulo alinyosha mkono wake akajitetea hivi: 2 “Mfalme Agripa, ninajiona mwenye bahati leo kujitetea mbele yako kuhusu…

Matendo 27

Paulo anasafiri kwenda Roma 1 Walipokwisha amua tusafiri mpaka Italia, walimweka Paulo pamoja na wafungwa wengine chini ya ulinzi wa Yulio aliyekuwa ofisa wa jeshi katika kikosi kiitwacho “Kikosi cha…

Matendo 28

Yaliyompata Paulo huko Malta 1 Tulipokwisha fika salama kwenye nchi kavu, tuligundua kwamba kile kisiwa kinaitwa Malta. 2 Wenyeji wa hapo walikuwa wema sana kwetu. Mvua ilikuwa inaanza kunyesha na…

Waroma 1

1 Kutoka kwangu mimi Paulo, mtumishi wa Kristo Yesu, na mtume niliyeteuliwa na kuitwa kwa ajili ya kuhubiri Habari Njema ya Mungu. 2 Hapo kale, Mungu aliwaahidi watu hii Habari…

Waroma 2

Hukumu ya Mungu 1 Basi, rafiki, kama unawahukumu wengine, huwezi kamwe kujitetea, hata kama wewe ni nani. Kwa maana, kwa kuwahukumu wengine, unajilaani wewe mwenyewe kwa vile nawe unayafanya mambo…

Waroma 3

1 Basi, Myahudi ana nini zaidi kuliko watu wengine? Au kutahiriwa kuna faida gani? 2 Naam, iko faida kwa kila upande. Kwanza, Mungu aliwakabidhi Wayahudi ujumbe wake. 3 Lakini itakuwaje…

Waroma 4

Mfano wa Abrahamu 1 Tuseme nini basi, juu ya Abrahamu baba yetu? 2 Kama Abrahamu alikuwa amefanywa mwadilifu kutokana na bidii yake, basi, anacho kitu cha kujivunia mbele ya Mungu….

Waroma 5

Waadilifu mbele yake Mungu 1 Sasa, kwa vile tumefanywa kuwa waadilifu kwa imani, basi tunayo amani naye Mungu kwa njia ya Bwana wetu Yesu Kristo. 2 Kwa imani yetu, yeye…

Waroma 6

Tunaishi kikamilifu kwa sababu ya Kristo 1 Tuseme nini basi? Je, tuendelee kubaki katika dhambi ili neema ya Mungu iongezeke? 2 Hata kidogo! Kuhusu dhambi sisi tumekufa – tutaendeleaje kuishi…

Waroma 7

Kielelezo kutokana na maisha ya ndoa 1 Ndugu zangu, bila shaka mtaelewa yafuatayo, maana ninawazungumzia watu wanaojua sheria. Sheria humtawala mtu wakati akiwa hai. 2 Mathalani: Mwanamke aliyeolewa anafungwa na…