1 Wakorintho 2

Ujumbe juu ya Yesu aliyesulubiwa 1 Ndugu, mimi nilipokuja kwenu sikuwahubiria siri ya ujumbe wa Mungu kwa ufasaha wa lugha, au kwa hekima ya binadamu. 2 Nilipokuwa kwenu niliamua kutojua…

1 Wakorintho 3

Watumishi wa Bwana 1 Ndugu, mimi sikuweza kusema nanyi kama watu mlio na huyo Roho. Nilipaswa kusema nanyi kama watu wa kidunia, kama watoto wachanga katika maisha ya Kikristo. 2…

1 Wakorintho 4

Utumishi wa mitume 1 Mtu na atuone sisi kuwa ni watumishi wa Kristo tuliokabidhiwa siri za Mungu. 2 Kinachotakiwa kwa yeyote yule aliyekabidhiwa kazi ni kuwa mwaminifu. 3 Kwangu mimi…

1 Wakorintho 5

Ukosefu wa uadilifu katika kanisa 1 Ziko habari za kuaminika kwamba kuna uzinzi miongoni mwenu; tena ni uzinzi mbaya ambao haujapata kuwako hata kati ya watu wasiomjua Mungu. Nimeambiwa eti…

1 Wakorintho 6

Mashtaka ya ndugu waumini 1 Anathubutuje mmoja wenu kumshtaki ndugu mwaamini mbele ya mahakama ya watu wasiomjua Mungu badala ya kumshtaki mbele ya watu wa Mungu? 2 Je, hamjui kwamba…

1 Wakorintho 7

Suala juu ya kuoa 1 Yahusu sasa mambo yale mliyoandika: Naam, ni vizuri kama mtu haoi; 2 lakini kwa sababu ya hatari ya uzinzi, basi, kila mwanamume na awe na…

1 Wakorintho 8

Vyakula vilivyotambikiwa sanamu 1 Yahusu sasa vyakula vilivyotambikiwa sanamu: Tunajua kwamba sisi sote tuna ujuzi, lakini ujuzi huo huwafanya watu wawe na majivuno; lakini mapendo hujenga. 2 Anayefikiri kwamba anajua…

1 Wakorintho 9

Haki na jukumu la mitume 1 Je, mimi si mtu huru? Je, mimi si mtume? Je, mimi sikumwona Yesu Bwana wetu? Je, nyinyi si matokeo ya kazi yangu kwa ajili…

1 Wakorintho 10

Onyo dhidi ya sanamu 1 Ndugu, nataka mjue kwamba babu zetu wote walikuwa chini ya ulinzi wa lile wingu, na kwamba wote walivuka salama ile bahari. 2 Wote walibatizwa katika…

1 Wakorintho 11

1 Niigeni mimi kama nami ninavyomwiga Kristo. Kufunika kichwa wakati wa ibada 2 Nawapeni hongera kwa sababu mnanikumbuka na kwa sababu mnayashikilia yale maagizo niliyowapeni. 3 Lakini napenda pia mjue…