2 Wakorintho 6

1 Basi, tukiwa wafanyakazi pamoja na Mungu, tunawasihi msikubali ile neema mliyopokea kutoka kwa Mungu ipotee bure. 2 Mungu asema hivi: “Wakati wa kufaa nimekusikiliza, wakati wa wokovu nikakusaidia.” Basi,…

2 Wakorintho 7

1 Basi, wapenzi wangu, tukiwa tumepewa ahadi hizi zote, na tujitakase na chochote kiwezacho kuchafua miili na roho zetu, tuwe watakatifu kabisa na kuishi kwa kumcha Mungu. Furaha ya Paulo…

2 Wakorintho 8

Ukarimu wa Kikristo 1 Ndugu, tunapenda kuwapa habari juu ya neema ambazo Mungu ameyajalia makanisa ya Makedonia. 2 Waumini wa huko walijaribiwa sana kwa taabu; lakini furaha yao ilikuwa kubwa…

2 Wakorintho 9

Msaada kwa Wakristo 1 Si lazima kuandika zaidi kuhusu huduma yenu hiyo kwa ajili ya watu wa Mungu. 2 Ninajua jinsi mlivyo na moyo wa kusaidia, na nilijivuna juu yenu…

2 Wakorintho 10

Paulo anajitetea kuhusu kazi yake 1 Mimi Paulo mwenyewe ambaye naonekana kuwa mpole nikiwa pamoja nanyi, lakini mkali niwapo mbali nanyi, nawasihini kwa huruma na wema wake Kristo. 2 Nawaombeni…

2 Wakorintho 11

Paulo na mitume wa uongo 1 Laiti mngenivumilia kidogo, hata kama mimi ni mjinga kiasi! Naam, nivumilieni kidogo. 2 Ninawaoneeni wivu lakini ni wivu wa Mungu; maana nyinyi ni kama…

2 Wakorintho 12

Maono na ufunuo 1 Nitajivuna basi, ingawa haifai! Lakini sasa nitasema juu ya maono na ufunuo alivyonijalia Bwana. 2 Namjua mtu mmoja Mkristo, ambaye miaka kumi na minne iliyopita alinyakuliwa…

2 Wakorintho 13

Maonyo ya mwisho na salamu 1 Hii ni mara yangu ya tatu kuja kwenu. “Kila tatizo litatatuliwa kwa ushahidi wa watu wawili au watatu,” yasema Maandiko. 2 Nilikwisha sema, na…

Wagalatia 1

1 Mimi Paulo niliye mtume si kwa mamlaka ya binadamu, wala si kwa nguvu ya mtu, bali kwa uwezo wa Yesu Kristo na wa Mungu Baba aliyemfufua Yesu kutoka kwa…

Wagalatia 2

Paulo na mitume wengine 1 Baada ya miaka kumi na minne, nilikwenda tena Yerusalemu pamoja na Barnaba; nilimchukua pia Tito pamoja nami. 2 Kwenda kwangu kulitokana na ufunuo alionipa Mungu….