Wafilipi 1

1 Mimi Paulo na Timotheo, watumishi wa Yesu Kristo, tunawaandikia nyinyi watu wa Mungu huko Filipi ambao mmeunganishwa na Kristo Yesu, pamoja na viongozina wasaidizi wa kanisa. 2 Tunawatakieni neema…

Wafilipi 2

Unyenyekevu na ukuu wa Kristo 1 Je, maisha yenu katika Kristo yanawapeni nguvu? Je, upendo wake unawafarijini? Je, mnao umoja na Roho Mtakatifu na kuoneana huruma na kusikitikiana nyinyi kwa…

Wafilipi 3

Uadilifu wa kweli 1 Hatimaye, ndugu zangu, furahini katika kuungana na Bwana. Sichoki kurudia yale niliyokwisha andika pale awali, maana yatawaongezeeni usalama. 2 Jihadharini na hao watendao maovu, hao mbwa,…

Wafilipi 4

Maagizo mbalimbali 1 Kwa hiyo, ndugu zangu wapenzi, ninaotamani sana kuwaoneni, nyinyi mlio furaha yangu na taji ya ushindi wangu, ndivyo basi mnavyopaswa kukaa imara katika kuungana na Bwana, enyi…

Wakolosai 1

1 Mimi Paulo, mtume wa Kristo Yesu kwa mapenzi ya Mungu, na ndugu Timotheo, 2 tunawaandikia nyinyi watu wa Mungu huko Kolosai, ndugu zetu waaminifu katika kuungana na Kristo. Tunawatakieni…

Wakolosai 2

1 Napenda mjue jinsi ninavyofanya kazi kwa bidii kwa ajili yenu, kwa ajili ya watu wa Laodikea na kwa ajili ya wote ambao hawajapata kuniona kwa macho. 2 Nafanya hivi…

Wakolosai 3

1 Basi, ikiwa mmefufuka pamoja na Kristo, panieni mambo ya juu, kule Kristo aliko, ameketi upande wa kulia wa Mungu. 2 Muwe na hamu ya mambo ya huko juu, na…

Wakolosai 4

1 Nanyi wakuu, watendeeni watumwa wenu kwa uadilifu na haki, mkikumbuka kwamba nanyi pia mnaye Bwana mbinguni. Maagizo 2 Dumuni katika sala, na mnaposali muwe waangalifu, mkimshukuru Mungu. 3 Vilevile,…

1 Wathesalonike 1

1 Mimi Paulo, Silwano na Timotheo, kwa jumuiya ya kanisa la Thesalonike, ambayo ni watu wake Mungu Baba, na wa Bwana Yesu Kristo. Tunawatakieni neema na amani. Maisha na imani…

1 Wathesalonike 2

Utumishi wa Paulo huko Thesalonike 1 Ndugu, nyinyi wenyewe mnafahamu kwamba ziara yetu kwenu haikuwa bure. 2 Mnajua jinsi tulivyodhulumiwa na kutukanwa kule Filipi kabla ya kufika kwenu Thesalonike. Ingawa…