1 Timotheo 5
Wajibu kwa waumini 1 Usimkemee mwanamume mzee, bali msihi kama vile angekuwa baba yako. Watendee vijana wa kiume kama ndugu zako, 2 wanawake wazee kama mama zako, na vijana wa…
Wajibu kwa waumini 1 Usimkemee mwanamume mzee, bali msihi kama vile angekuwa baba yako. Watendee vijana wa kiume kama ndugu zako, 2 wanawake wazee kama mama zako, na vijana wa…
1 Watumwa wote wanapaswa kuwaheshimu wakuu wao ili kusiwe na sababu ya watu kulitukana jina la Mungu na mafundisho yetu. 2 Watumwa ambao wakuu wao ni Wakristo wasiwadharau kwani ni…
1 Mimi Paulo, ambaye Mungu alitaka niwe mtume wa Kristo Yesu ili niutangaze ule uhai tulioahidiwa katika kuungana na Kristo Yesu, 2 nakuandikia wewe mwanangu mpenzi Timotheo. Nakutakia neema, huruma…
Askari mwaminifu wa Yesu Kristo 1 Basi, wewe mwanangu, uwe na nguvu katika neema tunayopata katika kuungana na Kristo Yesu. 2 Chukua yale mafundisho uliyonisikia nikitangaza mbele ya mashahidi wengi,…
Siku ya mwisho 1 Kumbuka kwamba, katika siku za mwisho kutakuwa na nyakati za taabu. 2 Watu watakuwa na ubinafsi, wenye tamaa ya fedha, wenye majivuno, wenye kujiona, wenye kumtukana…
1 Nakuamuru mbele ya Mungu, na mbele ya Kristo Yesu atakayewahukumu watu walio hai na wafu, na kwa sababu anakuja kutawala akiwa Mfalme: 2 Hubiri huo ujumbe, sisitiza kuutangaza (iwe…
1 Mimi Paulo, mtumishi wa Mungu na mtume wa Yesu Kristo naandika. Mimi nimechaguliwa kuijenga imani ya wateule wa Mungu na kuwaongoza waufahamu ukweli wa dini yetu 2 ambayo msingi…
Mafundisho ya kweli 1 Lakini wewe unapaswa kuhubiri mafundisho sahihi. 2 Waambie wanaume wazee kwamba wanapaswa kuwa na kiasi, wawe na busara na wataratibu; wanapaswa kuwa timamu katika imani yao,…
Maisha ya Kikristo 1 Wakumbushe watu kuwastahi watawala na wenye mamlaka, kuwatii na kuwa tayari kwa kila namna kutenda mambo yote mema. 2 Waambie wasimtukane mtu yeyote; bali waishi kwa…
1 Mimi Paulo, mfungwa kwa ajili ya Kristo Yesu, na ndugu Timotheo, ninakuandikia wewe Filemoni mpendwa, mfanyakazi mwenzetu, 2 na kanisa linalokutana nyumbani kwako, na wewe dada Afia, na askari…