Waebrania 1

Mungu anasema kwa njia ya Mwanae 1 Hapo zamani, Mungu alisema na babu zetu mara nyingi kwa namna nyingi kwa njia ya manabii, 2 lakini siku hizi za mwisho, amesema…

Waebrania 2

Wokovu mkuu 1 Kwa hiyo tunapaswa kuzingatia kwa makini yote tuliyosikia, tusije tukayakosa. 2 Ujumbe ule waliopewa wazee wetu na malaika ulioneshwa kuwa kweli, hata mtu yeyote ambaye hakuufuata au…

Waebrania 3

Yesu ni mkuu kuliko Mose 1 Ndugu zangu, watu wa Mungu ambao mmeitwa na Mungu, fikirini juu ya Yesu Mtume na Kuhani Mkuu wa imani tunayoiungama. 2 Yeye alikuwa mwaminifu…

Waebrania 4

1 Basi, kwa vile ahadi ya kuingia mahali pa pumziko bado ipo, na tuogope ili yeyote kati yenu asije akashindwa kupata pumziko hilo. 2 Maana Habari Njema imehubiriwa kwetu kama…

Waebrania 5

1 Kila kuhani mkuu ambaye huchaguliwa miongoni mwa watu hupewa jukumu la kushughulikia mambo ya Mungu kwa niaba ya watu, kutolea zawadi na tambiko kwa ajili ya dhambi. 2 Maadamu…

Waebrania 6

1 Basi, tuyaache nyuma yale mafundisho ya mwanzomwanzo juu ya Kristo, tusonge mbele kwa yale yaliyokomaa, na sio kuendelea kuweka msingi kuhusu kuachana na matendo ya kifo, na juu ya…

Waebrania 7

Kuhani Melkisedeki 1 Huyo Melkisedeki alikuwa mfalme wa Salemu, na kuhani wa Mungu Mkuu. Abrahamu alipokuwa anarudi kutoka vitani ambako aliwaua wafalme, Melkisedeki alikutana naye, akambariki, 2 naye Abrahamu akampa…

Waebrania 8

Yesu kuhani wetu mkuu 1 Basi, jambo muhimu katika hayo tunayosema ni hili: Sisi tunaye kuhani mkuu wa namna hiyo, ambaye anaketi upande wa kulia wa kiti cha enzi cha…

Waebrania 9

Ibada ya duniani na ya mbinguni 1 Agano la kwanza lilikuwa na taratibu zake za ibada na maskani takatifu ya duniani. 2 Palitengenezwa hema ambayo sehemu yake ya nje iliitwa…

Waebrania 10

1 Kwa vile sheria ni kivuli tu cha mambo mema yatakayokuja na si picha kamili ya mambo yale halisi, tambiko zilezile za sheria zinazotolewa mwaka hata mwaka, haziwezi kamwe kuwafanya…