Hesabu 14

Watu walalamika 1 Jumuiya yote ya Waisraeli ikaangua kilio kikubwa, watu wakalia usiku ule. 2 Waliwalalamikia Mose na Aroni wakisema, “Afadhali tungefia Misri! Afadhali tungefia papa hapa jangwani! 3 Kwa…

Hesabu 15

Sheria kuhusu sadaka 1 Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, 2 “Waambie Waisraeli kwamba mtakapofika katika nchi ninayowapeni ambamo mtaishi, 3 mkanitolea mimi Mwenyezi-Mungu sadaka kutoka katika mifugo yenu, sadaka ya kuteketezwa au…

Hesabu 16

Uasi wa Kora, Dathani na Abiramu 1 Baadaye Kora mwana wa Ishari, mwana wa Kohathi, mwana wa Lawi, akatwaa watu pamoja na watu watatu wa ukoo wa Reubeni: Dathani na…

Hesabu 17

Fimbo ya Aroni 1 Kisha Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, 2 “Waambie Waisraeli wakuletee fimbo kumi na mbili, kila kiongozi wa kabila fimbo moja. Liandike jina la kila mmoja wao kwenye fimbo…

Hesabu 18

1 Basi, Mwenyezi-Mungu akamwambia Aroni, “Lawama zote kuhusu huduma ya hema takatifu, zitakuwa juu yako, wanao na ukoo wako; kadhalika makosa yanayoambatana na ukuhani wako wewe mwenyewe na wanao mtahusika….

Hesabu 19

Majivu ya ng’ombe mwekundu 1 Mwenyezi-Mungu aliendelea kuwaambia Mose na Aroni, 2 “Haya ni masharti ya sheria ambayo mimi Mwenyezi-Mungu ninatoa. Waambieni Waisraeli wawaletee ng’ombe jike mwekundu asiye na dosari…

Hesabu 20

Maji ya Meriba 1 Jumuiya nzima ya Waisraeli ilifika katika jangwa la Sinai mnamo mwezi wa kwanza, wakapiga kambi yao huko Kadeshi. Wakiwa huko, Miriamu alifariki, akazikwa. 2 Mahali hapo…

Hesabu 21

Ushindi huko Horma 1 Mfalme mmoja Mkanaani wa Aradi aliyeishi huko Negebu alipopata habari kwamba Waisraeli walikuwa wanakuja kwa njia ya Atharimu, alikwenda kuwashambulia, akawateka baadhi yao. 2 Hapo, Waisraeli…

Hesabu 22

Balaamu aitwa na mfalme wa Moabu 1 Waisraeli walianza safari tena, wakaenda kupiga kambi yao katika tambarare za Moabu, mashariki ya mto Yordani, kuelekea mji wa Yeriko. 2 Mfalme Balaki…

Hesabu 23

1 Balaamu akamwambia Balaki, “Nijengee madhabahu saba hapa kisha uniletee fahali saba na kondoo madume saba.” 2 Balaki akafanya kama Balaamu alivyosema. Basi, wakatoa juu ya kila madhabahu kafara fahali…