Hesabu 24
1 Sasa Balaamu alitambua kwamba Mwenyezi-Mungu alipenda kuwabariki Waisraeli, kwa hiyo hakwenda kupiga bao tena, akawa anaangalia jangwani. 2 Alitazama juu akawaona Waisraeli wamepiga kambi, kila kabila mahali pake. Kisha…
1 Sasa Balaamu alitambua kwamba Mwenyezi-Mungu alipenda kuwabariki Waisraeli, kwa hiyo hakwenda kupiga bao tena, akawa anaangalia jangwani. 2 Alitazama juu akawaona Waisraeli wamepiga kambi, kila kabila mahali pake. Kisha…
Waisraeli na Baali wa Peori 1 Waisraeli walipokuwa huko Shitimu, wanaume walianza kuzini na wanawake wa Moabu. 2 Wanawake hao waliwaalika Waisraeli washiriki matambiko waliyotambikia miungu yao, nao Waisraeli wakala…
Sensa ya Pili 1 Baada ya yale maradhi, Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose na Eleazari mwana wa kuhani Aroni, 2 “Hesabuni jumuiya yote ya Waisraeli, kila mtu kufuatana na jamaa yake. Wahesabuni…
Haki ya kurithi kwa wanawake 1 Mala, Noa, Hogla, Milka na Tirza walikuwa binti zake Selofehadi. Naye Selofehadi alikuwa mwana wa Heferi, mwana wa Gileadi, mwana wa Makiri, mwana wa…
Sadaka za kila siku 1 Mwenyezi-Mungu alimwambia Mose, 2 “Waamuru Waisraeli ifuatavyo: Nyinyi mtanitolea kwa wakati wake tambiko zitakiwazo: Vyakula vya kuteketezwa kwa moto, vyenye harufu nzuri ya kupendeza. 3…
Sadaka ya sikukuu ya mwaka mpya 1 “Siku ya kwanza ya mwezi wa saba, mtafanya mkutano mtakatifu. Msifanye kazi. Hiyo ni siku ya kupiga tarumbeta. 2 Mtatoa sadaka ya kuteketezwa,…
Mwongozo kuhusu nadhiri 1 Kisha Mose alizungumza na viongozi wa makabila ya Israeli, akawaambia, “Hili ndilo neno lililoamriwa na Mwenyezi-Mungu: 2 “Mtu akiweka nadhiri kwa Mwenyezi-Mungu au akiahidi kwa kiapo…
Vita vitakatifu dhidi ya Midiani 1 Mwenyezi-Mungu aliongea na Mose, akamwambia, 2 “Walipize kisasi Wamidiani mambo waliyowatenda Waisraeli; kisha wewe utafariki.” 3 Basi Mose akazungumza na watu akawaambia, “Watayarisheni watu…
Makabila ya mashariki ya Yordani 1 Makabila ya Reubeni na Gadi yalikuwa na mifugo mingi sana. Basi, walipoona kwamba eneo la Yazeri na Gadi lilifaa kwa mifugo, 2 waliwaendea Mose,…
Safari kutoka Misri hadi Moabu 1 Vifuatavyo ni vituo ambavyo Waisraeli walipiga kambi walipotoka Misri wakiwa katika makundi ya makabila yao chini ya uongozi wa Mose na Aroni. 2 Mose…