Kumbukumbu la Sheria 18

Fungu la makuhani 1 “Makuhani Walawi, yaani kabila lote la Lawi wasiwe na sehemu wala urithi katika Israeli. Wao watakula sehemu ya sadaka za Mwenyezi-Mungu. 2 Wala wasiwe na urithi…

Kumbukumbu la Sheria 19

Miji ya kukimbilia usalama 1 “Baada ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, kuwaangamiza watu wale ambao nchi yao anawapeni, na baada ya kuimiliki na kuishi katika nyumba zao, 2 mtatenga miji mitatu…

Kumbukumbu la Sheria 20

Kuhusu vita 1 “Mkienda vitani kupigana na adui zenu, mkaona farasi, magari na jeshi kubwa zaidi kuliko lenu msiwaogope. Maana Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu aliyewatoa Misri, atakuwa nanyi. 2 Kabla ya…

Kumbukumbu la Sheria 21

Kuhusu mauaji yenye utata 1 “Mtu akipatikana ameuawa mbugani katika nchi ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, anawapeni muimiliki, nanyi hamjui ni nani aliyemuua, 2 wazee na waamuzi wenu watajitokeza na kupima…

Kumbukumbu la Sheria 22

1 “Ukimwona ng’ombe au kondoo wa ndugu yako amepotea, usimwache, bali mrudishe kwa ndugu yako. 2 Lakini kama nyumbani kwa huyu ndugu si karibu au kama humjui mwenyewe, basi, utamchukua…

Kumbukumbu la Sheria 23

Kutengwa na watu wa Mungu 1 “Mwanamume yeyote aliyehasiwa au aliyekatwa uume wake haruhusiwi kujiunga na kusanyiko la watu wa Mwenyezi-Mungu. 2 “Na mwana haramu yeyote, wala mzawa wake hata…

Kumbukumbu la Sheria 24

Talaka na kuoa tena 1 “Ikiwa mwanamume ameoa mke na baadaye akawa hapendezwi naye kwa sababu ameona kwake kitu kisichofaa, basi, huyo mwanamume akamwandikia hati ya talaka, akampa na kumfukuza…

Kumbukumbu la Sheria 25

1 “Ikiwa kuna ugomvi kati ya watu wawili, wakaenda kuamuliwa mahakamani, mmoja akaonekana hana hatia, na mwingine akahukumiwa, 2 kama yule aliyehukumiwa amepewa adhabu ya kuchapwa viboko, hakimu atamwamuru huyo…

Kumbukumbu la Sheria 26

Matoleo ya mavuno 1 “Baada ya kufika na kuimiliki nchi ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu anawapa iwe yenu na kuishi huko, 2 baadhi ya malimbuko ya mazao utakayovuna katika nchi anayokupa…

Kumbukumbu la Sheria 27

Sheria za Mungu zilizoandikwa kwenye mawe 1 Basi, Mose akiwa pamoja na wazee wa Israeli aliwaambia watu hivi: “Shikeni amri zote ninazowapa leo. 2 Siku ile mtakapovuka mto Yordani na…