Kumbukumbu la Sheria 28
Baraka kwa wanaotii 1 “Kama mkiitii sauti ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu na kuzingatia kwa uangalifu amri ambazo ninawaamuru leo, yeye atawaweka juu ya mataifa yote duniani. 2 Kama mkitii sauti…
Baraka kwa wanaotii 1 “Kama mkiitii sauti ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu na kuzingatia kwa uangalifu amri ambazo ninawaamuru leo, yeye atawaweka juu ya mataifa yote duniani. 2 Kama mkitii sauti…
Agano la Mwenyezi-Mungu na Waisraeli nchini Moabu 1 Haya ni maneno ya agano ambalo Mwenyezi-Mungu aliwaamuru Mose kufanya na Waisraeli katika nchi ya Moabu, licha ya agano Mwenyezi-Mungu alilofanya nao…
Matumaini mema kwa siku zijazo 1 Mose akaendelea kusema, “Nimewapeni uchaguzi kati ya baraka na laana. Mambo hayo yote yakiwapata nanyi mkiyatafakari popote mlipo miongoni mwa mataifa ambamo Mwenyezi-Mungu, Mungu…
Yoshua anachukua mahali pa Mose 1 Mose aliendelea kuongea na Waisraeli wote, 2 akawaambia, “Mimi sasa nina umri wa miaka 120, na sina nguvu ya kufanya kazi zaidi. Tena Mwenyezi-Mungu,…
1 “Tegeni masikio enyi mbingu: Sikiliza, ee dunia, maneno ninayosema. 2 Mafundisho yangu na yatone kama mvua, maneno yangu yadondoke kama umande, kama manyunyu kwenye mimea michanga, kama mvua nyepesi…
Mose anayabariki makabila ya Israeli 1 Hii ndiyo baraka ambayo Mose, mtu wa Mungu aliwatakia Waisraeli kabla ya kufariki kwake. Alisema: 2 Mwenyezi-Mungu alikuja kutoka mlima Sinai, alitutokea kutoka mlima…
Kifo cha Mose 1 Basi, Mose akaondoka kwenye tambarare ya Moabu, akaenda mlimani Nebo, akapanda kilele cha Pisga kilicho mkabala wa Yeriko. Hapo Mwenyezi-Mungu akamwonesha nchi yote: Toka Gileadi mpaka…
Mungu anamwamuru Yoshua kuiteka nchi ya Kanaani 1 Baada ya kifo cha Mose, mtumishi wa Mwenyezi-Mungu, Mwenyezi-Mungu alimwambia Yoshua mwana wa Nuni, mtumishi wa Mose: 2 “Mtumishi wangu Mose amefariki,…
Yoshua anawatuma wapelelezi Yeriko 1 Basi, Yoshua, mwana wa Nuni, akawatuma watu wawili kwa siri kutoka Shitimu waende kufanya upelelezi, katika nchi ile na hasa mji wa Yeriko. Wakaenda, wakafika…
Waisraeli wanavuka mto Yordani 1 Asubuhi na mapema Yoshua pamoja na watu wote wa Israeli walianza safari kutoka Shitimu. Walipoufikia mto Yordani, walipiga kambi hapo kwa muda kabla ya kuvuka….