Yoshua 14

Kugawanywa kwa nchi ya Kanaani 1 Yafuatayo ni maeneo ya nchi ambayo walipewa Waisraeli katika nchi ya Kanaani. Kuhani Eleazari na Yoshua, mwana wa Nuni, pamoja na wakuu wa koo…

Yoshua 15

Eneo walilopewa watu wa Yuda 1 Eneo la nchi waliyopewa kwa kura watu wa kabila la Yuda kulingana na jamaa zake lilienea tangu kusini-mashariki hadi mpakani mwa Edomu. Sehemu ya…

Yoshua 16

Nchi ya Efraimu na ya Manase 1 Sehemu waliyogawiwa wazawa wa Yosefu kwa kura ilianzia karibu na mto Yordani, mashariki ya chemchemi ya Yeriko, na kupitia jangwani, hadi kwenye sehemu…

Yoshua 17

1 Watu wa kabila la Manase ambaye alikuwa mzaliwa wa kwanza wa Yosefu, pia walipewa eneo lao kwa kura. Makiri, mzaliwa wa kwanza wa Manase na baba yake Gileadi, alikwishapewa…

Yoshua 18

Makabila mengine yanagawiwa nchi 1 Baada ya kuishinda ile nchi, jumuiya yote ya Waisraeli ilikusanyika huko Shilo na kulisimika hema la mkutano. 2 Yalikuwa yamebaki kati yao makabila saba ambayo…

Yoshua 19

Nchi waliyopewa kabila la Simeoni 1 Kura ya pili ilizipata koo za kabila la Simeoni na sehemu yao ya nchi ilikuwa imezungukwa na ile ya kabila la Yuda. 2 Kabila…

Yoshua 20

Miji ya kukimbilia usalama 1 Kisha Mwenyezi-Mungu akamwambia Yoshua, 2 awaambie Waisraeli hivi: “Jichagulieni miji ambamo mtu aweza kukimbilia usalama ambayo nilimwambia Mose akueleze. 3 Mtu yeyote akimuua mtu bila…

Yoshua 21

Miji ya Walawi 1 Walipokuwa huko Shilo katika nchi ya Kanaani viongozi wa koo za Walawi wakawaendea kuhani Eleazari na Yoshua mwana wa Nuni, na viongozi wa jamaa za makabila…

Yoshua 22

Makabila ya mashariki yanarudi nyumbani 1 Basi, Yoshua akawaita watu wa kabila la Reubeni, la Gadi na watu wa nusu ya kabila la Manase 2 akawaambia, “Nyinyi mmefuata yale yote…

Yoshua 23

Hotuba ya mwisho ya Yoshua 1 Baada ya muda mrefu, Mwenyezi-Mungu aliwajalia Waisraeli amani kwa kuwaokoa na maadui zao pande zote. Wakati huo Yoshua alikuwa mzee wa miaka mingi. 2…