Mwanzo 21

Kuzaliwa kwa Isaka 1 Mwenyezi-Mungu alimkumbuka Sara, akamtendea kama alivyoahidi. 2 Basi, Abrahamu akiwa mzee, Sara akapata mimba, akamzalia mtoto wa kiume, wakati uleule Mungu alioutaja. 3 Abrahamu akampa huyo…

Mwanzo 22

Abrahamu anamtoa Isaka sadaka 1 Baada ya muda fulani, Mungu alimjaribu Abrahamu. Mungu alimwita, “Abrahamu!” Naye akaitika, “Naam nasikiliza.” 2 Mungu akamwambia, “Mchukue mwanao, Isaka, mwanao wa pekee umpendaye, uende…

Mwanzo 23

Kifo cha Sara 1 Sara aliishi miaka 127. Hiyo ndiyo iliyokuwa miaka ya maisha yake Sara. 2 Alifia huko Kiriath-arba, yaani Hebroni, katika nchi ya Kanaani. Abrahamu akaomboleza na kumfanyia…

Mwanzo 24

Isaka anaoa 1 Sasa Abrahamu alikuwa mzee wa miaka mingi, naye Mwenyezi-Mungu alikuwa amembariki katika kila hali. 2 Siku moja Abrahamu akamwambia mtumishi wake aliyekuwa mzee kuliko wengine na msimamizi…

Mwanzo 25

Wazawa wengine wa Abrahamu 1 Abrahamu alioa mke mwingine, jina lake Ketura. 2 Ketura alimzalia Abrahamu: Zimrani, Yokshani, Medani, Midiani, Ishbaki na Shua. 3 Yokshani alimzaa Sheba na Dedani; wazawa…

Mwanzo 26

Isaka anahamia Gerari 1 Baadaye palitokea njaa nchini humo, njaa tofauti na ile ya hapo awali wakati wa uhai wa Abrahamu. Isaka akaenda Gerari kwa Abimeleki mfalme wa Wafilisti. 2…

Mwanzo 27

Isaka anambariki Yakobo 1 Isaka alikuwa amezeeka na macho yake yalikuwa hayaoni. Basi, alimwita Esau mwanawe mkubwa, akamwambia, “Mwanangu!” Naye akaitika “Naam baba, nasikiliza!” 2 Isaka akasema, “Tazama, mimi ni…

Mwanzo 28

1 Hivyo Isaka akamwita Yakobo, akambariki, akamwagiza akisema, “Usioe mwanamke yeyote Mkanaani. 2 Nenda Padan-aramu, nyumbani kwa babu yako Bethueli, ukaoe mmojawapo wa binti za mjomba wako Labani. 3 Mungu…

Mwanzo 29

Yakobo anawasili kwa Labani 1 Yakobo aliendelea na safari yake, akafika katika nchi za watu wa mashariki. 2 Siku moja akaona kisima mbugani, na kando yake makundi matatu ya kondoo…

Mwanzo 30

1 Raheli alipoona kwamba hajamzalia Yakobo watoto, alimwonea wivu Lea, dada yake, akamwambia Yakobo, “Nipatie watoto, la sivyo, nitakufa.” 2 Yakobo akamkasirikia Raheli sana na kumwambia, “Je, mimi nimekuwa badala…