Mwanzo 31

Yakobo amtoroka Labani 1 Basi, ikasikika kwamba watoto wa kiume wa Labani walinungunika na kusema, “Yakobo amenyakua kila kitu cha baba yetu; ndivyo alivyopata kuwa tajiri.” 2 Yakobo alijua pia…

Mwanzo 32

Yakobo ajitayarisha kukutana na Esau 1 Yakobo aliendelea na safari yake. Basi, malaika wa Mungu wakakutana naye. 2 Yakobo alipowaona, akasema, “Hili ni jeshi la Mungu!” Kwa hiyo akapaita mahali…

Mwanzo 33

Yakobo anakutana na Esau 1 Basi, Yakobo alitazama, akamwona Esau akija pamoja na watu 400. Hapo, akawagawa watoto wake kati ya Lea, Raheli na wale wajakazi wawili. 2 Akawaweka wajakazi…

Mwanzo 34

Simeoni na Lawi wanalipiza kisasi kwa ajili ya dada yao 1 Siku moja, Dina, binti yake Yakobo na Lea, alikwenda kuwatembelea wanawake wa nchi hiyo. 2 Basi, Shekemu, mwana wa…

Mwanzo 35

Yakobo anahamia Betheli 1 Siku moja, Mungu alimwambia Yakobo, “Anza safari, uende kuishi Betheli na kunijengea humo mahali pa kunitambikia mimi Mungu niliyekutokea wakati ulipomkimbia kaka yako Esau.” 2 Basi,…

Mwanzo 36

Wazawa wa Esau 1 Wafuatao ni wazawa wa Esau (yaani Edomu). 2 Esau alioa wake Wakanaani: Ada binti Eloni Mhiti, Oholibama binti Ana, binti Sibeoni, Mhivi, 3 na Basemathi, binti…

Mwanzo 37

Yosefu na ndugu zake 1 Yakobo aliendelea kukaa katika nchi ya Kanaani, alimoishi baba yake kama mgeni. 2 Hizi ndizo habari za ukoo wa Yakobo. Yosefu, akiwa kijana wa umri…

Mwanzo 38

Yuda na Tamari 1 Wakati huo, Yuda alitengana na ndugu zake, akaenda kukaa na mtu mmoja Mwadulami, jina lake Hira. 2 Akiwa huko, Yuda akamwona binti Shua, Mkanaani, akamwoa. 3…

Mwanzo 39

Mke wa Potifa na Yosefu 1 Basi, Yosefu alipochukuliwa mpaka Misri, Mmisri mmoja aitwaye Potifa ambaye alikuwa ofisa wa Farao na mkuu wa kikosi chake cha ulinzi, akamnunua kutoka kwa…

Mwanzo 40

Yosefu anatafsiri ndoto 1 Wakati fulani baada ya mambo hayo, maofisa wawili wa mfalme wa Misri walimkosea mfalme. Maofisa hao walikuwa mtunza vinywaji mkuu na mwoka mikate mkuu wa mfalme….