Mwanzo 41

Yosefu mbele ya Farao 1 Baada ya miaka miwili mizima, Farao aliota ndoto: Alijikuta amesimama kando ya mto Nili, 2 akaona ng’ombe saba wazuri na wanono wakitoka mtoni na kula…

Mwanzo 42

Ndugu za Yosefu wanakwenda Misri 1 Yakobo alipopata habari kwamba kulikuwa na nafaka huko Misri, aliwaambia wanawe, “Mbona mnaketi mkitazamana tu? 2 Nimesikia kwamba Misri kuna nafaka. Nendeni huko mkanunue…

Mwanzo 43

Benyamini aenda Misri 1 Kisha njaa ilizidi kuwa kali katika nchi ya Kanaani. 2 Baada ya kile chakula walichokuwa wamenunua kutoka Misri kumalizika, Yakobo akawaambia wanawe, “Nendeni tena Misri, mkatununulie…

Mwanzo 44

Kikombe chapatikana kwa Benyamini 1 Kisha Yosefu alimwagiza msimamizi wa nyumba yake akisema, “Yajaze magunia ya watu hawa nafaka kiasi watakachoweza kuchukua. Halafu, weka fedha ya kila mmoja wao mdomoni…

Mwanzo 45

Yosefu anajitambulisha 1 Hapo Yosefu akashindwa kujizuia mbele ya wote walioandamana naye, akawaamuru watoke nje. Hivyo Yosefu alikuwa peke yake alipojitambulisha kwa ndugu zake. 2 Lakini alilia kwa sauti kubwa…

Mwanzo 46

Yakobo anasafiri kwenda Misri 1 Basi, Israeli akaanza safari yake pamoja na mali yake yote. Alipofika Beer-sheba, akamtolea tambiko Mungu wa Isaka, baba yake. 2 Mungu akaongea na Israeli katika…

Mwanzo 47

1 Basi, Yosefu akaenda kwa Farao, akamwambia, “Baba yangu na ndugu zangu pamoja na kondoo, ng’ombe na mali yao yote, wamefika kutoka nchi ya Kanaani. Sasa wako katika eneo la…

Mwanzo 48

Yakobo anawabariki Efraimu na Manase 1 Baada ya hayo, Yosefu alipewa habari kwamba baba yake ni mgonjwa. Hivyo, akawachukua wanawe wawili, Manase na Efraimu, akaenda nao kwa baba yake. 2…

Mwanzo 49

Yakobo anawabariki wanawe 1 Yakobo akawaita wanawe, akasema, “Kusanyikeni pamoja niwaambieni mambo yatakayowapata siku zijazo. 2 “Kusanyikeni msikie, enyi wana wa Yakobo, nisikilizeni mimi Israeli, baba yenu. 3 “Wewe Reubeni…

Mwanzo 50

1 Hapo Yosefu akamkumbatia baba yake akilia na kumbusu. 2 Kisha, akawaagiza waganga wake wampake Israeli, baba yake, dawa ili asioze, nao wakafanya hivyo. 3 Kama kawaida, siku arubaini zilihitajika…