Kutoka 1

Waisraeli wanateswa nchini Misri 1 Haya ndiyo majina ya watoto wa kiume wa Israeli,ambao walikwenda Misri, kila mmoja na jamaa yake: 2 Reubeni, Simeoni, Lawi, Yuda, 3 Isakari, Zebuluni, Benyamini,…

Kutoka 2

Mtoto Mose anaokotwa mtoni Nili 1 Kulikuwa na mtu mmoja wa ukoo wa Walawi aliyemwoa mwanamke mmoja ambaye pia alikuwa wa ukoo wa Walawi. 2 Basi, mama huyu akapata mimba,…

Kutoka 3

Mungu anamwita Mose 1 Siku moja, Mose alikuwa anachunga kundi la kondoo la baba mkwe wake, Yethro, kuhani wa Midiani. Mose alilipeleka kundi hilo upande wa magharibi wa jangwa, akaufikia…

Kutoka 4

Mose apewa uwezo wa kufanya miujiza 1 Mose akamwambia Mungu, “Lakini Waisraeli hawataniamini wala kunisikiliza, bali watasema kuwa wewe Mwenyezi-Mungu hukunitokea.” 2 Hapo Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Unashika nini mkononi mwako?”…

Kutoka 5

Mose na Aroni mbele ya Farao 1 Baadaye, Mose na Aroni walimwendea Farao, wakamwambia, “Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli anasema hivi, ‘Waache watu wangu waondoke, wakanifanyie sikukuu jangwani.’” 2 Lakini Farao…

Kutoka 6

1 Lakini Mwenyezi-Mungu akamjibu Mose, “Sasa utaona jinsi nitakavyomtenda Farao; maana kwa nguvu atalazimika kuwaacha watu wangu watoke. Naam, kwa nguvu atawafukuza waondoke nchini mwake.” Mungu anamwita Mose 2 Mungu…

Kutoka 7

1 Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Tazama, mimi nakufanya kuwa kama mungu kwa Farao, naye ndugu yako Aroni atakuwa nabii wako. 2 Utamwambia ndugu yako Aroni mambo yote nitakayokujulisha, naye Aroni nduguyo,…

Kutoka 8

Pigo la pili: Vyura 1 Kisha Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Nenda kwa Farao ukamwambie Mwenyezi-Mungu asema hivi: Waache watu wangu waondoke ili wanitumikie. 2 Lakini ukikataa kuwaacha waondoke, basi, nitaipiga nchi…

Kutoka 9

Pigo la tano: Vifo vya mifugo 1 Kisha Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Nenda kwa Farao ukamwambie kwamba mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Waebrania, nasema, ‘Waache watu wangu waondoke ili wakanitumikie. 2 Kama…

Kutoka 10

Pigo la nane: Nzige 1 Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Nenda kwa Farao. Mimi nimemfanya kuwa mkaidi na maofisa wake ili nipate kutenda ishara hizi miongoni mwao, 2 ili nyinyi mpate kuwasimulia…