Kutoka 11

Tangazo la kuuawa wazaliwa wa kwanza wa Wamisri 1 Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Bado kuna pigo moja nitakalomletea Farao na nchi ya Misri. Baadaye atawaacheni mwondoke hapa. Tena atakapowaacheni mwondoke, yeye…

Kutoka 12

Pasaka 1 Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose na Aroni, walipokuwa bado nchini Misri, 2 “Mwezi huu utakuwa kwenu mwezi wa kwanza wa mwaka. 3 Iambieni jumuiya yote ya Waisraeli kwamba mnamo siku…

Kutoka 13

Kuwaweka wakfu wazaliwa wa kwanza 1 Mwenyezi-Mungu alimwambia Mose, 2 “Niwekee wakfu wazaliwa wote wa kwanza wa kiume, maana wazaliwa wote wa kwanza wa kiume wa Waisraeli na kila wazaliwa…

Kutoka 14

Waisraeli wanavuka bahari ya Shamu 1 Kisha, Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, 2 “Waambie Waisraeli warudi nyuma, wapige kambi mbele ya Pi-hahirothi, kati ya mji wa Migdoli na bahari ya Shamu, mbele…

Kutoka 15

Wimbo wa Mose 1 Hapo, Mose pamoja na Waisraeli wakamwimbia Mwenyezi-Mungu wimbo huu, “Nitamwimbia Mwenyezi-Mungu kwani ameshinda kwa fahari, farasi na mpandafarasi wake amewatosa baharini. 2 Mwenyezi-Mungu hunijalia nguvu na…

Kutoka 16

Mana na kware 1 Jumuiya yote ya Waisraeli iliondoka, ikafika jangwa la Sini kati ya Elimu na Sinai. Hii ilikuwa siku ya kumi na tano ya mwezi wa pili tangu…

Kutoka 17

Maji kutoka mwambani 1 Kutoka jangwa la Sini, jumuiya yote ya Waisraeli ilisafiri hatua kwa hatua kama alivyoamuru Mwenyezi-Mungu, watu wakapiga kambi huko Refidimu. Lakini huko hakukuwa na maji ya…

Kutoka 18

Yethro anamtembelea Mose 1 Yethro, kuhani wa Midiani, baba mkwe wa Mose, alisikia juu ya mambo yote ambayo Mwenyezi-Mungu alimtendea Mose na Waisraeli alipowatoa katika nchi ya Misri. 2 Kwa…

Kutoka 19

Waisraeli mlimani Sinai 1 Siku ya kwanza ya mwezi wa tatu tangu walipotoka nchini Misri, watu wa Israeli walifika katika jangwa la Sinai. 2 Walipoondoka Refidimu na kufika jangwa la…

Kutoka 20

Amri kumi 1 Mwenyezi-Mungu alizungumza maneno haya yote, akasema, 2 “Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, niliyekutoa nchini Misri, ambako ulikuwa mtumwa. 3 “Usiwe na miungu mingine ila mimi. 4 “Usijifanyie…