Hesabu 34

Mipaka ya nchi 1 Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, 2 “Waamuru Waisraeli ukisema: Mtakapoingia Kanaani, nchi ambayo ninawapa iwe nchi yenu, mipaka ya eneo lenu lote itakuwa kama ifuatavyo. 3 Upande wa…

Hesabu 35

Miji ya Walawi 1 Mwenyezi-Mungu aliongea na Mose katika tambarare za Moabu, ngambo ya mto Yordani karibu na Yeriko, akamwambia, 2 “Waamuru Waisraeli kwamba kutokana na urithi watakaomiliki, wawape Walawi…

Hesabu 36

Urithi wa wanawake walioolewa 1 Viongozi wa jamaa katika ukoo wa Gileadi, mwana wa Makiri, mwana wa Manase, mwana wa Yosefu, walikwenda kuzungumza na Mose na viongozi wengine wa koo…

Kumbukumbu la Sheria 1

Utangulizi 1 Kitabu hiki kina maneno ambayo Mose aliwaambia watu wote wa Israeli wakati walipokuwa nyikani mashariki ya mto Yordani. Walikuwa katika bonde la Yordani karibu na Sufu, kati ya…

Kumbukumbu la Sheria 2

Miaka kadhaa jangwani 1 “Kisha, tuligeuka, tukasafiri jangwani kwa kupitia njia ya Bahari ya Shamu, kama Mwenyezi-Mungu alivyoniambia; tulitangatanga karibu na mlima Seiri kwa muda mrefu. 2 Kisha Mwenyezi-Mungu akaniambia,…

Kumbukumbu la Sheria 3

Kushindwa kwa mfalme Ogu 1 “Kisha, tuligeuka, tukapanda kuelekea Bashani. Mfalme Ogu alitoka na watu wake wote kupigana nasi karibu na mji wa Edrei. 2 Lakini Mwenyezi-Mungu aliniambia, ‘Usimwogope, maana…

Kumbukumbu la Sheria 4

Kuzingatia sheria ya Mungu 1 Mose akaendelea kusema, “Zingatieni basi na kufuata masharti yote na maagizo niliyowafundisha, ili mpate kuishi na kumiliki nchi ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wa babu zenu, anawapeni….

Kumbukumbu la Sheria 5

Amri kumi 1 Mose aliwaita pamoja Waisraeli, akawaambia: “Enyi Waisraeli, sikilizeni masharti na maagizo ambayo ninayatamka mbele yenu leo. Jifunzeni hayo na kuyatekeleza kwa uangalifu. 2 Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, alifanya…

Kumbukumbu la Sheria 6

Amri kuu 1 “Hizi ndizo amri, masharti na maagizo ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, aliniamuru niwafundishe, ili muyatekeleze katika nchi mnayokwenda kuimiliki. 2 Wakati wote mlipo hai, mtapaswa kumcha Mwenyezi-Mungu, Mungu…

Kumbukumbu la Sheria 7

Taifa teule la Mwenyezi-Mungu 1 “Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, atawafikisha kwenye nchi ambayo mtakwenda kufanya makao yenu na atayafukuza mataifa mengi kutoka nchi hiyo. Mtakapoingia, atayafukuza mbele yenu mataifa saba makubwa…