Waamuzi 20

Vita vya kuwaadhibu watu wa Benyamini 1 Watu wote wa Israeli, kutoka Dani hadi Beer-sheba, pamoja na watu wa nchi ya Gileadi, jumuiya nzima, walikusanyika huko Mizpa, mbele ya Mwenyezi-Mungu….

Waamuzi 21

Kuchipuka tena kwa kabila la Benyamini 1 Waisraeli walikuwa wameapa huko Mizpa kwamba hakuna hata mmoja wao ambaye angemwachia binti yake aolewe kwa watu wa kabila la Benyamini. 2 Basi,…

Ruthu 1

Elimeleki na jamaa yake wanakwenda Moabu 1 Hapo zamani, wakati waamuzi walipokuwa wanatawala Israeli, palitokea njaa nchini humo. Mtu mmoja kutoka Bethlehemu katika Yuda pamoja na mkewe na watoto wao…

Ruthu 2

Ruthu anafanya kazi katika shamba la Boazi 1 Naomi alikuwa na ndugu aliyeitwa Boazi, wa ukoo wa Elimeleki mumewe. Huyo alikuwa mtu mashuhuri na tajiri. 2 Siku moja, Ruthu Mmoabu…

Ruthu 3

Ruthu anashauriwa kupata mume 1 Baada ya muda, Naomi mkwewe alimwambia Ruthu, “Ni wajibu wangu kukutafutia mume ili upate mema. 2 Sasa huyu Boazi, ambaye ulifanya kazi na wasichana wake,…

Ruthu 4

Boazi anamwoa Ruthu 1 Boazi alikwenda mahali pa kufanyia mkutano huko kwenye lango la mji akaketi chini. Kisha yule ndugu ya Elimeleki ambaye Boazi alikuwa amemtaja, akapita karibu na hapo….

1 Samueli 1

Elkana na jamaa yake huko Shilo 1 Kulikuwa na mtu mmoja mjini Rama katika nchi ya milima ya Efraimu aitwaye Elkana wa kabila la Efraimu. Yeye alikuwa mwana wa Yerohamu,…

1 Samueli 2

Sala ya Hana 1 Halafu Hana aliomba na kusema: “Namshangilia Mwenyezi-Mungu moyoni mwangu. Namtukuza Mwenyezi-Mungu aliye nguvu yangu. Nawacheka adui zangu; maana naufurahia ushindi wangu. 2 “Hakuna aliye mtakatifu kama…

1 Samueli 3

Mwenyezi-Mungu amtokea Samueli 1 Wakati huo, kijana Samueli alipokuwa anamtumikia Mwenyezi-Mungu chini ya uangalizi wa Eli, ujumbe kutoka kwa Mwenyezi-Mungu ulikuwa haba sana; hata na maono kutoka kwake yalipatikana mara…

1 Samueli 4

Sanduku la agano linatekwa 1 Wakati huo, Wafilisti walikutana pamoja, wapigane na Waisraeli. Waisraeli walipiga kambi yao huko Ebenezeri, na Wafilisti wakapiga kambi yao huko Afeka. 2 Wafilisti waliwashambulia Waisraeli,…