1 Samueli 15

Vita dhidi ya Waamaleki 1 Samueli alimwambia Shauli, “Mwenyezi-Mungu alinituma kukupaka mafuta uwe mfalme wa watu wake wa Israeli. Sasa sikiliza maneno ya Mwenyezi-Mungu. 2 Mwenyezi-Mungu wa majeshi asema hivi:…

1 Samueli 16

Daudi anapakwa mafuta kuwa mfalme 1 Mwenyezi-Mungu akamwambia Samueli, “Utamlilia Shauli mpaka lini? Wewe unajua kuwa mimi nimemkataa kuwa mfalme juu ya Israeli. Sasa, jaza upembe wako mafuta, uondoke. Nitakutuma…

1 Samueli 17

Goliathi anapambana na Waisraeli 1 Sasa, Wafilisti walikusanya majeshi yao huko Soko, mji ulioko katika Yuda, tayari kwa vita. Walipiga kambi katika sehemu moja iitwayo Efes-damimu kati ya Soko na…

1 Samueli 18

1 Shauli alipomaliza kuzungumza na Daudi, Yonathani mwana wa Shauli, alivutiwa sana na Daudi, akampenda kwa moyo wake wote kama alivyojipenda yeye mwenyewe. 2 Tangu siku hiyo, Shauli akamchukua Daudi…

1 Samueli 19

Shauli anamwandama Daudi 1 Shauli alimweleza mwanawe Yonathani na maofisa wake juu ya mpango wake wa kumwua Daudi. Lakini Yonathani, mwanawe Shauli, alimpenda sana Daudi. 2 Kwa hiyo, akamwambia, “Baba…

1 Samueli 20

Yonathani anamsaidia Daudi 1 Daudi alikimbia kutoka Nayothi katika Rama, akaenda mpaka kwa Yonathani, akamwambia, “Nimefanya nini? Kosa langu ni nini? Nimemtendea baba yako dhambi gani hata ajaribu kuyaangamiza maisha…

1 Samueli 21

Daudi anamkimbia Shauli 1 Daudi alikwenda kwa kuhani Ahimeleki huko Nobu. Ahimeleki akatoka kumlaki huku akiwa anatetemeka, akamwuliza, “Kwa nini umekuja hapa peke yako?” 2 Daudi akamjibu, “Niko hapa kutokana…

1 Samueli 22

Shauli anawaua makuhani 1 Daudi aliondoka huko akakimbilia kwenye pango karibu na mji wa Adulamu. Kaka zake na ndugu zake wengine waliposikia kwamba alikuwa hapo, wote walikwenda kuungana naye. 2…

1 Samueli 23

Daudi anauokoa mji wa Keila 1 Kisha Daudi aliambiwa, “Sikiliza, Wafilisti wanaushambulia mji wa Keila na wanapora nafaka kwenye viwanja vya kupuria.” 2 Basi, Daudi akamwomba Mwenyezi-Mungu shauri, “Je, niende…

1 Samueli 24

Daudi anayahurumia maisha ya Shauli 1 Shauli aliporudi kutoka kupigana na Wafilisti, aliambiwa kuwa Daudi yuko kwenye mbuga za Engedi. 2 Kisha Shauli aliwachukua askari 3,000 wateule waliokuwa bora zaidi…