2 Samueli 4
Ishboshethi anauawa 1 Ishboshethi mwana wa Shauli, aliposikia kwamba Abneri ameuawa huko Hebroni, alivunjika moyo na watu wote wa Israeli walifadhaika. 2 Ishboshethi mwana wa Shauli, alikuwa na watu wawili…
Ishboshethi anauawa 1 Ishboshethi mwana wa Shauli, aliposikia kwamba Abneri ameuawa huko Hebroni, alivunjika moyo na watu wote wa Israeli walifadhaika. 2 Ishboshethi mwana wa Shauli, alikuwa na watu wawili…
Daudi awa mfalme wa Israeli na Yuda 1 Kisha makabila yote ya Israeli yalimwendea Daudi huko Hebroni, na kumwambia, “Tazama, sisi ni mwili na damu yako. 2 Hapo awali, Shauli…
Sanduku la agano lapelekwa Yerusalemu 1 Kwa mara nyingine, Daudi aliwakusanya wale askari bora wa Israeli, jumla yao 30,000. 2 Daudi aliondoka akaenda pamoja na watu wake wote aliokuwa nao…
Unabii wa Nathani kwa Daudi 1 Wakati mfalme Daudi alipokuwa akikaa katika ikulu, naye Mwenyezi-Mungu amemuwezesha kuwa na amani na adui zake kila upande, 2 mfalme Daudi akamwambia nabii Nathani,…
Ushindi wa kijeshi wa Daudi 1 Baada ya hayo, Daudi aliwapiga, akawashinda Wafilisti. Akauteka mji wa Metheg-ama kutoka utawala wa Wafilisti. 2 Kisha aliwashinda Wamoabu. Aliwapanga katika mistari mateka hao,…
Daudi na Mefiboshethi 1 Siku moja, Daudi aliuliza, “Je, kuna mtu yeyote aliyesalia katika jamaa ya Shauli? Kama yuko, ningependa kumtendea wema kwa ajili ya Yonathani.” 2 Kulikuwa na mtumishi…
Daudi awashinda Waamori na Waashuru 1 Baada ya hayo mfalme Nahashi wa Waamori akafa, na mwanawe aliyeitwa Hanuni akawa mfalme badala ya baba yake. 2 Mfalme Daudi akasema, “Nitamtendea wema…
Daudi na Bathsheba 1 Hata ikawa katika mwanzo wa mwaka mpya, wakati ambapo wafalme huenda vitani, Daudi alimtuma Yoabu na maofisa wake pamoja na Waisraeli wote kupigana; nao waliteka nyara…
Nathani anamkemea Daudi 1 Basi Mwenyezi-Mungu akamtuma nabii Nathani kwa Daudi. Nathani alimwendea Daudi, akamwambia, “Kulikuwa na wanaume wawili katika mji mmoja; mmoja alikuwa tajiri na mwingine alikuwa maskini. 2…
Amnoni na Tamari 1 Absalomu, alikuwa na dada yake mzuri aliyeitwa Tamari. Muda si muda, Amnoni, mtoto mwingine wa kiume wa Daudi, akampenda sana Tamari. 2 Amnoni aliteseka sana hata…