2 Samueli 14
Yoabu anapanga kumrudisha Absalomu 1 Yoabu mwana wa Seruya, alitambua kwamba maelekeo ya moyo wa Daudi yalikuwa kwa Absalomu tu. 2 Hivyo alituma watu huko Tekoa ili wamtafutie mwanamke mwenye…
Yoabu anapanga kumrudisha Absalomu 1 Yoabu mwana wa Seruya, alitambua kwamba maelekeo ya moyo wa Daudi yalikuwa kwa Absalomu tu. 2 Hivyo alituma watu huko Tekoa ili wamtafutie mwanamke mwenye…
Absalomu anapanga uasi 1 Baada ya tukio hilo, Absalomu alijipatia gari, farasi na watu hamsini wa kumtangulia. 2 Absalomu alizoea kuamka asubuhi na mapema na kwenda kusimama kwenye njia inayoelekea…
Siba na mfalme Daudi 1 Daudi alipokuwa amekipita kidogo kilele cha mlima, Siba mtumishi wa Mefiboshethi alimlaki Daudi akiwa na punda wawili ambao walikuwa wametandikwa huku wamebeba mikate200, vishada 100…
Hushai anampotosha Absalomu 1 Zaidi ya Hayo, Ahithofeli alimwambia Absalomu, “Niruhusu nichague watu 12,000, niondoke na kumfuatia Daudi leo usiku. 2 Nitamshambulia akiwa amechoka na amevunjika moyo, nami nitamtia wasiwasi….
Absalomu anashindwa na kuuawa 1 Daudi aliwahesabu watu waliokuwa pamoja naye, akawagawanya katika vikosi vya maelfu chini ya makamanda wao; na vikosi vya mamia, navyo chini ya makamanda wao. 2…
Yoabu anamkemea mfalme 1 Yoabu aliambiwa kwamba mfalme alikuwa akilia na kuomboleza juu ya kifo cha Absalomu. 2 Kwa hiyo, ushindi wa siku hiyo uligeuzwa kuwa maombolezo kwa watu wote,…
Uasi wa Sheba 1 Sasa ikawa kwamba huko Gilgali kulikuwa na mtu mmoja mlaghai aitwaye Sheba mwana wa Bikri, Mbenyamini. Basi Sheba alipiga tarumbeta, na kusema, “Hatuna fungu lolote kwa…
Wazawa wa Shauli wanauawa 1 Wakati mmoja kulitokea njaa kali nchini Daudi akiwa mfalme. Njaa hiyo ilidumu miaka mitatu mfululizo. Daudi alimwomba Mwenyezi-Mungu shauri. Mwenyezi-Mungu akamwambia, “Shauli na jamaa yake…
Wimbo wa ushindi wa Daudi 1 Daudi alimwimbia Mwenyezi-Mungu maneno ya wimbo ufuatao siku ile Mwenyezi-Mungu alipomkomboa mikononi mwa adui zake, na mkononi mwa Shauli. 2 Alisema, “Mwenyezi-Mungu ni mwamba…
Maneno ya mwisho ya Daudi 1 Yafuatayo ni maneno ya mwisho ya Daudi. Ni ujumbe wa Daudi mwana wa Yese; ujumbe wa mtu ambaye Mungu alimfanya awe mkuu. Mungu wa…