1 Wafalme 20

Vita kati ya Ashuru na Israeli 1 Ben-hadadi mfalme wa Aramu, alikusanya jeshi lake lote; aliungwa mkono na wafalme wengine thelathini na wawili pamoja na farasi na magari yao ya…

1 Wafalme 21

Kisa cha shamba la Nabothi 1 Nabothi, mwenyeji wa Yezreeli, alikuwa na shamba lake la mizabibu huko Yezreeli, karibu na ikulu ya Ahabu, mfalme wa Samaria. 2 Basi, siku moja,…

1 Wafalme 22

Nabii Mikaya amwonya Ahabu 1 Kwa muda wa miaka mitatu hivi, kulikuwa na amani kati ya Israeli na Aramu. 2 Lakini mnamo mwaka wa tatu, Yehoshafati, mfalme wa Yuda, alifika…

2 Wafalme 1

Elia na mfalme Ahazia 1 Baada ya kifo cha Ahabu, watu wa Moabu waliasi wasitawaliwe na Israeli. 2 Mfalme Ahazia alipokuwa Samaria alianguka kutoka chumba kilichokuwa paani mwa nyumba yake,…

2 Wafalme 2

Elia anachukuliwa mbinguni 1 Ikawa wakati ulipofika ambapo Mwenyezi-Mungu alitaka kumchukua Elia mbinguni katika upepo wa kisulisuli, Elia na Elisha walikuwa njiani, wakitoka Gilgali. 2 Baadaye walipokuwa njiani, Elia alimwambia…

2 Wafalme 3

Vita kati ya Israeli na Moabu 1 Katika mwaka wa kumi na nane wa utawala wa mfalme Yehoshafati wa Yuda, Yoramu mwana wa Ahabu alianza kutawala Israeli, akatawala kutoka Samaria…

2 Wafalme 4

Elisha anamsaidia mjane maskini 1 Basi, mwanamke mmoja miongoni mwa wake za wanafunzi wa manabii akamwendea Elisha, akamwambia, “Mtumishi wako, mume wangu amefariki, na kama ujuavyo, alikuwa mcha Mungu, lakini…

2 Wafalme 5

Naamani aponywa 1 Naamani, kamanda wa jeshi la mfalme wa Aramu alikuwa mtu mashuhuri aliyependwa sana na bwana wake, kwani kwa njia yake Mwenyezi-Mungu aliiletea nchi ya Aramu ushindi. Alikuwa…

2 Wafalme 6

Shoka lapatikana 1 Siku moja, wanafunzi wa manabii walimlalamikia Elisha wakisema, “Mahali hapa tunapokaa ni padogo sana kwetu! 2 Turuhusu twende Yordani tukate miti ili tujijengee mahali patakapotutosha.” Elisha akawajibu,…

2 Wafalme 7

1 Elisha akamjibu, “Sikiliza neno la Mwenyezi-Mungu: Kesho wakati kama huu, humu Samaria kilo tatu za unga bora wa ngano zitagharimu fedha shekeli moja ya fedha, na kilo sita za…