2 Wafalme 8

Mwanamke wa Shunemu arudi 1 Elisha alikuwa amemwambia mwanamke aliyeishi Shunemu ambaye alikuwa amemfufua mwanawe, “Ondoka, na jamaa yako, uhamie ugenini kwa sababu Mwenyezi-Mungu ameleta njaa itakayokuwamo nchini kwa muda…

2 Wafalme 9

Yehu atawazwa kuwa mfalme wa Israeli 1 Wakati huohuo nabii Elisha alimwita mmoja wa wanafunzi wa manabii, akamwambia, “Jitayarishe kwenda Ramothi katika Gileadi. Chukua chupa hii ya mafuta 2 na…

2 Wafalme 10

Wazawa wa Ahabu wauawa 1 Katika mji wa Samaria kulikuwa na wana sabini wa Ahabu. Yehu akaandika barua na kuzituma kwa watawala wa mji,kwa viongozi na kwa walinzi wa wana…

2 Wafalme 11

Malkia Athalia wa Yuda 1 Mara Athalia, mamake mfalme Ahazia, alipoona kuwa mwanawe ameuawa, alitoka, akaangamiza jamii yote ya kifalme. 2 Lakini Yehosheba binti ya mfalme Yoramu, dada yake Ahazia,…

2 Wafalme 12

Mfalme Yoashi wa Yuda 1 Katika mwaka wa saba wa enzi ya mfalme Yehu wa Israeli Yoashi alianza kutawala Yuda huko Yerusalemu, naye akatawala kwa muda wa miaka arubaini huko…

2 Wafalme 13

Mfalme Yehoahazi wa Israeli 1 Katika mwaka wa ishirini na tatu wa enzi ya mfalme Yoashi wa Yuda, Yehoahazi mwana wa Yehu alianza kutawala Israeli, akaendelea kutawala huko Samaria muda…

2 Wafalme 14

Mfalme Amazia wa Yuda 1 Katika mwaka wa pili wa enzi ya Yehoashi mwana wa Yehoahazi huko Israeli, Amazia mwana wa Yoashi mfalme wa Yuda alianza kutawala. 2 Alipoanza kutawala…

2 Wafalme 15

Mfalme Azaria wa Yuda 1 Katika mwaka wa ishirini na saba wa utawala wa Yeroboamu mfalme wa Israeli, Azaria mwana wa Amazia mfalme wa Yuda alianza kutawala. 2 Alikuwa na…

2 Wafalme 16

Mfalme Ahazi wa Yuda 1 Katika mwaka wa kumi na saba wa enzi ya Peka mwana wa Remalia mfalme wa Israeli, Ahazi mwana wa Yothamu mfalme wa Yuda alianza kutawala….

2 Wafalme 17

Mfalme Hoshea wa Israeli 1 Katika mwaka wa kumi na mbili wa enzi ya mfalme Ahazi wa Yuda, Hoshea mwana wa Ela alianza kutawala Israeli, akatawala huko Samaria kwa miaka…