2 Wafalme 18

Mfalme Hezekia wa Yuda 1 Katika mwaka wa tatu wa enzi ya Hoshea mwana wa Ela, mfalme wa Israeli, Hezekia mwana wa Ahazi, mfalme wa Yuda, alianza kutawala; 2 alikuwa…

2 Wafalme 19

Mfalme aomba shauri kwa Isaya 1 Mfalme Hezekia alipopata habari hizo, alirarua mavazi yake, akavaa gunia akaingia katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu. 2 Aliwaamuru Eliakimu, mkuu wa ikulu, Shebna, katibu, na…

2 Wafalme 20

Kuugua na kupona kwa mfalme Hezekia 1 Wakati huo Hezekia aliugua sana karibu na kufa. Ndipo nabii Isaya, mwana wa Amozi alipomwendea na kumwambia, “Hivi ndivyo anavyosema Mwenyezi-Mungu; ‘Panga mambo…

2 Wafalme 21

Mfalme Manase wa Yuda 1 Manase alikuwa na umri wa miaka kumi na miwili alipoanza kutawala Yuda, akatawala kutoka Yerusalemu kwa muda wa miaka hamsini na mitano. 2 Alitenda maovu…

2 Wafalme 22

Mfalme Yosia wa Yuda 1 Yosia alikuwa na umri wa miaka minane alipoanza kutawala huko Yerusalemu, akatawala kwa miaka thelathini na mmoja. Mama yake alikuwa Yedida, binti Adaya, mkazi wa…

2 Wafalme 23

Mfalme Yosia aondoa ibada za miungu 1 Kisha mfalme alituma wajumbe, nao wakamkusanyia viongozi wote wa Yuda na wa Yerusalemu. 2 Naye mfalme akaenda katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu akifuatana na…

2 Wafalme 24

1 Nebukadneza mfalme wa Babuloni aliishambulia Yuda. Yehoyakimu, alimtumikia kwa miaka mitatu halafu aliacha kumtii, akamwasi. 2 Basi, Mwenyezi-Mungu akampelekea makundi ya Wababuloni, Waaramu, Wamoabu na Waamoni washambulie nchi ya…

2 Wafalme 25

Maangamizi ya Yerusalemu 1 Katika siku ya kumi ya mwezi wa kumi wa mwaka wa tisa wa utawala wake Sedekia, Nebukadneza mfalme wa Babuloni alifika na jeshi lake, akaushambulia mji…

1 Mambo ya Nyakati 1

Toka Adamu hadi Abrahamu 1 Adamu alimzaa Sethi, Sethi akamzaa Enoshi, Enoshi akamzaa Kenani, 2 Kenani akamzaa Mahalaleli, Mahalaleli akamzaa Yaredi, 3 Yaredi akamzaa Henoki, Henoki akamzaa Methusela. Methusela alimzaa…

1 Mambo ya Nyakati 2

Wazawa wa Yuda 1 Israeli alikuwa na wana wa kiume kumi na wawili: Reubeni, Simeoni, Lawi, Yuda, Isakari, Zebuluni, 2 Dani, Yosefu, Benyamini, Naftali, Gadi na Asheri. 3 Wana wa…