1 Mambo ya Nyakati 3
Wana wa mfalme Daudi 1 Hawa ndio wana wa mfalme Daudi waliozaliwa wakati alipokuwa huko Hebroni: Amnoni, mzaliwa wake wa kwanza; mama yake aliitwa Ahinoamu, Myezreeli; wa pili Danieli ambaye…
Wana wa mfalme Daudi 1 Hawa ndio wana wa mfalme Daudi waliozaliwa wakati alipokuwa huko Hebroni: Amnoni, mzaliwa wake wa kwanza; mama yake aliitwa Ahinoamu, Myezreeli; wa pili Danieli ambaye…
Wazawa wa Yuda 1 Wana wa Yuda walikuwa Peresi, Hesroni, Karmi, Huri na Shobali. 2 Reaya, mwana wa Shobali, alimzaa Yahathi, aliyekuwa baba yake Ahumai na Lahadi, hizo ndizo jamaa…
Wazawa wa Reubeni 1 Hawa ndio wazawa wa Reubeni, mzaliwa wa kwanza wa Israeli. (Ingawa Reubeni alikuwa mzaliwa wa kwanza haki yake ya mzaliwa wa kwanza ilipewa Yosefu nduguye kwa…
Nasaba ya makuhani wakuu 1 Lawi alikuwa na wana watatu: Gershomu, Kohathi na Merari. 2 Kohathi alikuwa na wana wanne: Amramu, Ishari, Hebroni na Uzieli. 3 Amramu alikuwa na wana…
Wazawa wa Isakari 1 Wana wa Isakari walikuwa wanne: Tala, Pua, Yashubu na Shimroni. 2 Wana wa Tola walikuwa: Uzi, Refaya, Yerieli, Yamai, Ibsamu na Shemueli. Hao walikuwa wakuu wa…
Wazawa wa Benyamini 1 Benyamini alikuwa na wana watano: Bela, mzaliwa wake wa kwanza, Ashbeli wa pili, Ahara wa tatu, 2 Noha wa nne na Rafa wa tano. 3 Bela…
Watu waliorudi toka uhamishoni 1 Hivyo, watu wote wa Israeli waliandikishwa katika nasaba, na orodha hiyo imeandikwa katika Kitabu cha Wafalme wa Israeli. Watu wa Yuda walikuwa wamechukuliwa mateka hadi…
Kifo cha mfalme Shauli 1 Basi, Wafilisti walipigana vita dhidi ya Waisraeli; nao Waisraeli walikimbia mbele ya Wafilisti na kuuawa katika mlima wa Gilboa. 2 Lakini Wafilisti wakamzingira Shauli na…
Daudi anakuwa mfalme 1 Kisha Waisraeli wote walikusanyika pamoja kwa Daudi huko Hebroni, wakamwambia: “Tazama, sisi ni mwili na damu yako. 2 Hapo awali, Shauli alipokuwa mfalme wewe ndiwe uliyewaongoza…
Wafuasi wa kwanza wa Daudi kutoka Benyamini 1 Hawa ni wanaume ambao walijiunga na Daudi huko Siklagi, alipokuwa hana uhuru wowote wa kutembea kwa sababu ya mfalme Shauli mwana wa…