1 Mambo ya Nyakati 23

1 Daudi alipokuwa mzee wa miaka mingi, alimtawaza Solomoni mwanawe awe mfalme wa Israeli. Kazi ya Walawi 2 Mfalme Daudi aliwakusanya wakuu wote wa Israeli, makuhani na Walawi. 3 Walawi…

1 Mambo ya Nyakati 24

Kazi za makuhani 1 Hayo ndiyo makundi ya wazawa wa Aroni. Aroni alikuwa na wana wanne: Nadabu, Abihu, Eleazari na Ithamari. 2 Nadabu na Abihu walikufa kabla ya baba yao,…

1 Mambo ya Nyakati 25

Waimbaji wa hekaluni 1 Mfalme Daudi na viongozi wa Walawi, waliwateua baadhi ya wana wa Asafu, wa Hemani, na wa Yeduthuni, kuongoza katika huduma ya kutabiri kwa kutumia vinubi, na…

1 Mambo ya Nyakati 26

Walinzi wa hekalu 1 Haya ndiyo makundi ya Walawi waliofanya kazi za ubawabu. Kutoka katika ukoo wa Kora, alikuwa Meshelemia mwana wa Kore wa jamaa ya Asafu. 2 Yeye alikuwa…

1 Mambo ya Nyakati 27

Taratibu za majeshi 1 Hii ndiyo orodha ya wakuu wa wazawa wa Israeli waliokuwa viongozi wa jamaa, na makamanda wa maelfu na mamia na maofisa wao waliomtumikia mfalme Daudi kuhusu…

1 Mambo ya Nyakati 28

Maagizo ya Daudi kuhusu hekalu 1 Mfalme Daudi akawakusanya huko Yerusalemu wakuu wote wa Israeli: Wa makabila, majemadari na vikosi waliomtumikia mfalme, makamanda wa maelfu, makamanda wa mamia, wasimamizi wa…

1 Mambo ya Nyakati 29

Matoleo ya kujengea hekalu 1 Mfalme Daudi akaumbia ule mkutano wote uliojumuika, “Solomoni, mwanangu, ambaye peke yake amechaguliwa na Mungu, bado yungali mdogo, na hana uzoefu mwingi, na kazi hii…

2 Mambo ya Nyakati 1

Mfalme Solomoni aomba Hekima 1 Solomoni, mwanawe mfalme Daudi, alijiimarisha katika utawala wake, naye Mwenyezi-Mungu, Mungu wake alikuwa pamoja naye, akambariki na kumfanya awe mkuu sana. 2 Mfalme Solomoni aliwaita…

2 Mambo ya Nyakati 2

Matayarisho ya kujenga Hekalu 1 Mfalme Solomoni alikata shauri kujenga nyumba ambamo Mwenyezi-Mungu ataabudiwa, na pia kujijengea yeye mwenyewe jumba la kifalme. 2 Alipanga wanaume 70,000 wawe wachukuzi wa mizigo,…

2 Mambo ya Nyakati 3

1 Kisha Solomoni alianza kujenga nyumba ya Mwenyezi-Mungu katika Yerusalemu juu ya mlima Moria ambapo Mwenyezi-Mungu alimtokea Daudi baba yake, mahali ambapo Daudi alikuwa amepachagua, kwenye kiwanja cha kupuria cha…