2 Mambo ya Nyakati 4

Vifaa vya Hekalu 1 Mfalme Solomoni alitengeneza madhabahu ya shaba ya mraba mita 9 kwa mita 9, na kimo chake mita 4.5. 2 Kisha, alitengeneza tangi la maji la mviringo,…

2 Mambo ya Nyakati 5

1 Hivyo, Solomoni akamaliza kazi zote zilizohusu nyumba ya Mwenyezi-Mungu. Kisha Solomoni akaleta mali yote Daudi baba yake aliyokuwa ameiweka wakfu, yaani: Fedha, dhahabu na vyombo; akaiweka katika hazina za…

2 Mambo ya Nyakati 6

Hotuba ya mfalme Solomoni 1 Ndipo Solomoni akasema, “Mwenyezi-Mungu alisema ya kwamba atakaa katika giza nene. 2 Hakika nimekujengea nyumba tukufu, mahali pa makao yako ya milele.” 3 Kisha Solomoni…

2 Mambo ya Nyakati 7

Hekalu lawekwa wakfu 1 Solomoni alipomaliza sala yake, moto ulishuka kutoka mbinguni na kuchoma sadaka na tambiko za kuteketeza zilizotolewa, kisha utukufu wa Mwenyezi-Mungu ukaijaza nyumba. 2 Kwa kuwa utukufu…

2 Mambo ya Nyakati 8

Mafanikio ya Solomoni 1 Miaka ishirini, ambayo Solomoni aliijenga nyumba ya Mwenyezi-Mungu na ikulu ilipokwisha kupita, 2 Solomoni aliijenga upya miji aliyopewa na Huramu, halafu akawapa Waisraeli miji hiyo waishi…

2 Mambo ya Nyakati 9

Ziara ya malkia wa Sheba 1 Malkia wa Sheba aliposikia sifa za Solomoni, aliwasili Yerusalemu ili kumjaribu Solomoni kwa maswali magumu. Alifuatana na msafara wa watu, pamoja na ngamia waliobeba…

2 Mambo ya Nyakati 10

Uasi wa makabila ya Kaskazini 1 Basi, Rehoboamu akaenda Shekemu, ambako Waisraeli wote walikuwa wamekusanyika ili kumtawaza awe mfalme. 2 Naye Yeroboamu mwana wa Nebati alipopata habari kuhusu tendo hilo…

2 Mambo ya Nyakati 11

Unabii wa Shemaya 1 Rehoboamu alipofika Yerusalemu, alikusanya askari stadi180,000 wa makabila ya Yuda na Benyamini, apate kupigana na Israeli, ili ajirudishie huo ufalme. 2 Lakini ujumbe wa Mungu ulimjia…

2 Mambo ya Nyakati 12

Wamisri waivamia Yuda 1 Ikawa utawala wa Rehoboamu ulipokwisha imarika na kuwa na nguvu, yeye pamoja na watu wake wote waliacha kutii sheria ya Mwenyezi-Mungu. 2 Katika mwaka wa tano…

2 Mambo ya Nyakati 13

Vita kati ya Abiya na Yeroboamu 1 Abiya alianza kutawala Yuda mnamo mwaka wa kumi na nane wa utawala wa mfalme Yeroboamu. 2 Alitawala kwa muda wa miaka mitatu akiwa…