2 Mambo ya Nyakati 34
Mfalme Yosia wa Yuda 1 Yosia alikuwa na umri wa miaka minane alipoanza kutawala; alitawala miaka thelathini na mmoja huko Yerusalemu. 2 Alitenda mema mbele ya Mwenyezi-Mungu. Alifuata njia zake…
Mfalme Yosia wa Yuda 1 Yosia alikuwa na umri wa miaka minane alipoanza kutawala; alitawala miaka thelathini na mmoja huko Yerusalemu. 2 Alitenda mema mbele ya Mwenyezi-Mungu. Alifuata njia zake…
Yosia aadhimisha Pasaka 1 Mfalme Yosia aliadhimisha Pasaka mjini Yerusalemu, wakachinja wanakondoo wa Pasaka siku ya kumi na nne ya mwezi wa kwanza. 2 Aliwateua makuhani kwa kazi zao ambazo…
Mfalme Yehoahazi wa Yuda 1 Watu wa Yuda walimtwaa Yehoahazi, mwana wa Yosia, wakamtawaza awe mfalme mahali pa baba yake. 2 Yehoahazi alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitatu…
Wayahudi wanaamriwa kurudi 1 Mnamo mwaka wa kwanza wa utawala wa Koreshi, mfalme wa Persia, ili neno la Mwenyezi-Mungu alilolinena kwa njia ya nabii Yeremia litimie, Mwenyezi-Mungu alimfanya Koreshi, mfalme…
Watu waliorudi kutoka uhamishoni 1 Wafuatao ni watu wa mkoani waliotoka utumwani ambao Nebukadneza mfalme wa Babuloni aliwapeleka mateka Babuloni, wakarudi mjini Yerusalemu na nchini Yuda. Kila mtu alirudi mjini…
Kuabudu kunaanza tena 1 Baadaye mwezi wa saba ulipofika, na watu wa Israeli wakiwa wamekwisha kaa katika miji yao, wote walikusanyika pamoja mjini Yerusalemu. 2 Yeshua, mwana wa Yosadaki, pamoja…
Ujenzi wa hekalu wapingwa 1 Kisha maadui wa watu wa Yuda na Benyamini waliposikia kwamba watu waliorudi kutoka uhamishoni wanalijenga upya hekalu la Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, 2 walimwendea Zerubabeli…
1 Wakati huo, manabii wawili, Hagai na Zekaria, mwana wa Ido, waliwatolea unabii Wayahudi waliokuwa wanakaa Yuda na Yerusalemu, katika jina la Mungu wa Israeli. 2 Nao Zerubabeli, mwana wa…
Amri ya Koreshi yapatikana 1 Mfalme Dario alitoa amri na uchunguzi ulifanywa mjini Babuloni katika nyumba ya kumbukumbu za kifalme. 2 Lakini kitabu kilipatikana mjini Ekbatana katika mkoa wa Media,…
Ezra awasili Yerusalemu 1 Baadaye, wakati wa utawala wa mfalme Artashasta wa Persia, palikuwa na mtu mmoja aliyeitwa Ezra. Ezra alikuwa mwana wa Seraya, mwana wa Azaria, mwana wa Hilkia,…