Ezra 8

Watu waliorudi kutoka uhamishoni 1 Ifuatayo ni orodha ya viongozi wa koo za watu waliorudi pamoja nami Ezrakutoka Babuloni, wakati wa utawala wa mfalme Artashasta: 2 Gershomu, wa ukoo wa…

Ezra 9

Waisraeli wanaoa wanawake wa kigeni 1 Baada ya mambo haya yote kutendeka, viongozi walinijia na kunipa taarifa ifuatayo: “Watu wa Israeli, makuhani na Walawi hawajajitenga na wakazi wa nchi ambao…

Ezra 10

Kuoa wanawake wa kigeni ni marufuku 1 Wakati Ezra alipokuwa anaomba na kuungama huku analia na kujiangusha kifudifudi mbele ya nyumba ya Mungu, umati mkubwa wa watu wa Israeli, wanaume,…

Nehemia 1

1 Lifuatalo ni simulizi la Nehemia, mwana wa Hakalia. Jukumu la Nehemia kuhusu Yerusalemu Ikawa, nilipokuwa katika mji mkuu wa Susa, katika mwezi wa Kislevu wa mwaka wa ishirini, 2…

Nehemia 2

Nehemia anakwenda Yerusalemu 1 Katika mwezi wa Nisani, katika mwaka wa ishirini wa utawala wa mfalme Artashasta, wakati divai ilipokuwa mbele yake, nilichukua divai na kumpelekea mkononi mwake. Kamwe sikuwahi…

Nehemia 3

Ukuta wa Yerusalemu unajengwa upya 1 Basi Lango la Kondoo lilijengwa upya na Eliashibu, kuhani mkuu, pamoja na ndugu zake waliokuwa makuhani. Waliliweka wakfu na kutia milango yake; wakaliweka wakfu…

Nehemia 4

Nehemia anashinda upinzani 1 Sanbalati aliposikia kuwa tumeanza kazi ya kuujenga upya ukuta, alikasirika sana, akaanza kutukebehi, 2 mbele ya rafiki zake na majeshi ya Wasamaria, akisema, “Hawa Wayahudi wanyonge…

Nehemia 5

Maskini wanadhulumiwa 1 Baada ya muda kulitokea malalamiko miongoni mwa watu, wanaume kwa wanawake, wakiwalalamikia ndugu zao Wayahudi. 2 Kulitokea waliosema, “Tafadhali tupatie nafaka tule ili tuweze kuishi kwa kuwa…

Nehemia 6

Njama za kumwangamiza Nehemia 1 Kisha Sanbalati, Tobia, Geshemu, Mwarabu na adui zetu wengine, waliposikia kuwa tumemaliza ujenzi wa ukuta na kwamba hakuna mapengo yoyote (ingawa tulikuwa bado hatujaweka milango…

Nehemia 7

1 Baada ya ukuta kukamilika, malango yote kuwa tayari, na kuteuliwa kwa walinzi, waimbaji na Walawi, 2 nilimteua ndugu yangu Hanani kuwa mwangalizi wa Yerusalemu akishirikiana na Hanania aliyekuwa mkuu…