Nehemia 8

Ezra anawasomea watu sheria 1 Kisha watu wote, kwa nia moja, wakakusanyika mjini Yerusalemu kwenye uwanja ulio karibu na Lango la Maji. Wakamwambia Ezra, mwandishi, kukileta kitabu cha sheria ya…

Nehemia 9

Watu wanaungama dhambi zao 1 Siku ya ishirini na nne ya mwezi huo wa saba, watu wa Israeli walikusanyika, wakifunga na kuvaa mavazi ya magunia na kujipaka udongo kichwani kuonesha…

Nehemia 10

1 Kwenye hati yenye mhuri kulikuwapo majina ya Nehemia, mtawala wa mkoa, mwana wa Hakalia, na Sedekia; 2 Seraya, Azaria, Yeremia, 3 Pashuri, Amaria, Malkiya, 4 Hatushi, Shebania, Maluki, 5…

Nehemia 11

Watu waliokaa Yerusalemu 1 Kisha, viongozi wa watu wakakaa mjini Yerusalemu; watu wengine wote, wakapiga kura kati ya kila jamaa kumi ili kuchagua jamaa moja itakayokaa mjini Yerusalemu, mji mtakatifu….

Nehemia 12

Orodha ya makuhani na Walawi 1 Ifuatayo ni orodha ya makuhani na Walawi waliorudi kutoka uhamishoni pamoja na Zerubabeli, mwana wa Shealtieli, na kuhani mkuu Yeshua. Makuhani: Seraya, Yeremia, Ezra,…

Nehemia 13

Kujitenga na watu wengine 1 Katika siku hiyo ya sherehe, kitabu cha Mose kilisomwa na ilifahamika kuwa Waamoni na Wamoabu kamwe wasiingie katika mkutano wa watu wa Mungu. 2 Maana…

Esta 1

Malkia Vashti aasi amri ya mfalme Ahasuero 1 Mfalme Ahasuero,alipotawala ufalme wake ulikuwa mikoa 127, toka India hadi Kushi. 2 Kiti chake cha enzi kilikuwa katika mji mkuu Susa. 3…

Esta 2

Esta anateuliwa kuwa malkia 1 Baadaye, hasira yake ilipokwisha tulia, mfalme Ahasuero alimkumbuka Vashti, akawa anatafakari juu ya ukaidi wake na hatua iliyochukuliwa dhidi yake. 2 Basi, watumishi wake, waliokuwa…

Esta 3

Hamani ala njama kuwaangamiza Wayahudi 1 Baada ya mambo hayo, mfalme Ahasuero alimpandisha cheo Hamani, akawa waziri mkuu. Hamani alikuwa mwanawe Hamedatha, na wa uzao wa Agagi. 2 Mfalme aliamuru…

Esta 4

Mordekai aomba msaada wa Esta 1 Mordekai alipojua yote yaliyotukia, alizirarua nguo zake, akavaa vazi la gunia, na kujitia majivu. Kisha, akapita katikati ya mji akilia kwa sauti ya uchungu….