Yobu 5

1 “Ita sasa, uone kama kuna wa kukuitikia. Ni yupi kati ya watakatifu utakayemwita? 2 Ama kweli hangaiko humuua mpumbavu, na wivu humwangamiza mjinga. 3 Nimepata kuona mpumbavu akifana, lakini…

Yobu 6

1 Yobu akamjibu Elifazi: 2 “Laiti mahangaiko yangu yangepimwa uzani wake, mateso yangu yote yakawekwa katika mizani! 3 Yangekuwa mazito kuliko mchanga wa pwani. Ndio maana maneno yangu ni ya…

Yobu 7

1 “Binadamu anayo magumu duniani, na siku zake ni kama siku za kibarua! 2 Yeye ni kama mtumwa atamaniye kivuli, kama mwajiriwa angojaye kwa hamu mshahara wake. 3 Basi nimepangiwa…

Yobu 8

1 Ndipo Bildadi, Mshuhi, akamjibu Yobu: 2 “Utasema mambo haya mpaka lini? Mpaka lini maneno yako yatakuwa matupu kama upepo? 3 Kwani, wadhani Mungu hupotosha haki? Au, je, Mungu Mwenye…

Yobu 9

Jibu la Yobu 1 Kisha Yobu akajibu: 2 “Kweli najua hivyo ndivyo ilivyo. Lakini mtu awezaje kuwa mwema mbele ya Mungu? 3 Kama mtu angethubutu kushindana naye, hataweza kufika mbali;…

Yobu 10

Kauli ya mwisho ya Yobu 1 “Nayachukia maisha yangu! Malalamiko yangu nitayasema bila kizuizi. Nitasema kwa uchungu wa moyo wangu. 2 Nitamwambia Mungu: Usinihukumu. Nijulishe kisa cha kupingana nami. 3…

Yobu 11

Hoja ya Sofari 1 Kisha Sofari, Mnaamathi, akamjibu Yobu: 2 “Je, wingi huu wa maneno uachwe tu bila kujibiwa? Je, mtu wa maneno mengi aonesha kuwa hana hatia? 3 Je,…

Yobu 12

Jibu la Yobu 1 Ndipo Yobu akajibu: 2 “Sawa! Nyinyi ni watu wa hekima. Hekima itakufa wakati ule mtakapokufa. 3 Mimi nami ni mwelewa kama nyinyi. Mimi si mtu duni…

Yobu 13

Jibu la Yobu laendelea 1 “Tazama, hayo yote nimeyaona kwa macho yangu; nimeyasikia kwa masikio yangu mwenyewe na kuelewa. 2 Yote mnayoyajua, mimi pia nayajua. Mimi si mtu duni kuliko…

Yobu 14

1 “Mtu ni mtoto tu wa mwanamke; huishi siku chache tena zilizojaa taabu. 2 Huchanua kama ua, kisha hunyauka. Hukimbia kama kivuli na kutoweka. 3 Ee Mungu, kwa nini unajali…