Yobu 15
Hoja ya pili ya Elifazi 1 Kisha Elifazi, Mtemani, akajibu: 2 “Je, mtu wa hekima hujibu kwa maneno ya upuuzi? Je, mtu huyo amejaa maneno matupu? 3 Je, mwenye hekima…
Hoja ya pili ya Elifazi 1 Kisha Elifazi, Mtemani, akajibu: 2 “Je, mtu wa hekima hujibu kwa maneno ya upuuzi? Je, mtu huyo amejaa maneno matupu? 3 Je, mwenye hekima…
Jibu la Yobu 1 Hapo Yobu akajibu: 2 “Mambo kama hayo nimeyasikia mengi; nyinyi ni wafariji duni kabisa! 3 Mwisho wa maneno haya matupu ni lini? Au ni kitu gani…
1 “Nimevunjika moyo, siku zangu zimekwisha, kaburi langu liko tayari. 2 Kweli wanaonidhihaki wamenizunguka, dhihaka zao naziona dhahiri. 3 “Ee Mungu, uwe mdhamini wangu mbele yako, maana hakuna mwingine wa…
Hoja ya pili ya Bildadi 1 Kisha Bildadi, Mshuhi, akajibu: 2 “Utawinda maneno ya kusema hadi lini? Tafakari vizuri nasi tutasema. 3 Kwa nini unatufanya kama ng’ombe? Mbona unatuona sisi…
Jibu la Yobu 1 Kisha Yobu akajibu: 2 “Mtaendelea kunitesa mpaka lini, na kunivunjavunja kwa maneno? 3 Mara hizi zote kumi mmenishutumu. Je, hamwoni aibu kunitendea vibaya? 4 Hata kama…
Hoja ya tatu ya Sofari 1 Kisha Sofari, Mnaamathi, akajibu: 2 “Fikira zangu zanifanya nikujibu, wala siwezi kujizuia tena. 3 Nasikia maonyo nisiyoweza kuvumilia, lakini akili yangu yanisukuma nijibu. 4…
Jibu la Yobu 1 Kisha Yobu akajibu: 2 “Sikilizeni kwa makini maneno yangu; na hiyo iwe ndiyo faraja yenu. 3 Nivumilieni, nami nitasema, na nikisha sema endeleeni kunidhihaki. 4 Je,…
Hoja ya Elifazi 1 Kisha Elifazi, Mtemani, akajibu Yobu: 2 “Je, binadamu anafaa chochote kwa Mungu? Kwa kweli mwenye hekima anajifaidi mwenyewe tu. 3 Je, unadhani wamfurahisha Mungu kwa kuwa…
Jibu la Yobu 1 Kisha Yobu akajibu: 2 “Leo pia lalamiko langu ni chungu. Napata maumivu na kusononeka. 3 Laiti ningejua mahali nitakapompata Mungu! Ningeweza kwenda hata karibu naye. 4…
1 “Mbona Mungu Mwenye Nguvu haweki wakati maalumu wa hukumu; au kwa nini wamjuao hawazijui siku hizo zake? 2 Watu wanaoondoa alama za mipaka ya mashamba, na wengine huiba mifugo…