Yobu 25

Jibu la Bildadi 1 Kisha Bildadi, Mshuhi, akajibu: 2 “Mungu ni mwenye uwezo mkuu, watu wote na wamche. Yeye huweka amani mpaka juu kwake mbinguni. 3 Nani awezaye kuhesabu majeshi…

Yobu 26

Jibu la Yobu 1 Kisha Yobu akajibu: 2 “Aa! Jinsi gani ulivyomsaidia asiye na uwezo! Jinsi gani ulivyomwokoa asiye na nguvu! 3 Jinsi gani ulivyomshauri asiye na hekima, na kumshirikisha…

Yobu 27

1 Yobu akaendelea kutoa hoja yake, akasema: 2 “Naapa kwa Mungu aliye hai, aliyeniondolea haki yangu, Mungu Mwenye Nguvu aliyeifanya nafsi yangu iwe na uchungu! 3 Naapa kuwa kadiri ninavyoweza…

Yobu 28

Sifa za hekima 1 “Hakika kuna machimbo ya fedha, na mahali ambako dhahabu husafishwa. 2 Watu huchimba chuma ardhini, huyeyusha shaba kutoka mawe ya madini. 3 Wachimba migodi huleta taa…

Yobu 29

1 Kisha Yobu akaendelea na hoja yake, akasema: 2 “Laiti ningekuwa kama zamani, wakati ule ambapo Mungu alinichunga; 3 wakati taa yake iliponiangazia kichwani, na kwa mwanga wake nikatembea gizani….

Yobu 30

1 “Lakini sasa watu wananidhihaki, tena watu walio wadogo kuliko mimi; watu ambao baba zao niliwaona hawafai hata kuwaangalia mbwa wangu wakilinda kondoo. 2 Ningepata faida gani mikononi mwao, watu…

Yobu 31

1 “Nimejifunga rasmi mimi mwenyewe, macho yangu yasimtazame msichana kwa tamaa. 2 Au je, nangojea nini kutoka kwa Mungu aliye juu? Mungu Mwenye Nguvu ameniwekea kitu gani? 3 Je, maafa…

Yobu 32

Elihu anatoa hoja zake 1 Basi hawa watu watatu: Elifazi, Bildadi na Sofari, wakaacha kumjibu Yobu kwa vile alijiona kuwa mwema. 2 Ndipo Elihu, mwana wa Barakeli, wa kabila la…

Yobu 33

1 “Sasa, Yobu, sikiliza hoja yangu; sikiliza maneno yangu yote. 2 Tazama, nafumbua kinywa changu, naam, ulimi wangu utasema. 3 Nitasema kadiri ya unyofu wa moyo wangu; ninayoyajua nitayasema kwa…

Yobu 34

1 Kisha Elihu akaendelea kusema: 2 “Sikilizeni maneno yangu enyi wenye hekima, nitegeeni masikio yenu, nyinyi wenye ujuzi. 3 Sikio huyapima maneno, kama vile ulimi uonjavyo chakula. 4 Basi, na…