Yobu 35

1 Kisha Elihu akaendelea kusema: 2 “Je, Yobu, unaona jambo hili ni sawa na kufikiri kinyume cha Mungu 3 ukiuliza: ‘Nimepata faida gani kama sikutenda dhambi? Nimefaidika kuliko kama ningalitenda…

Yobu 36

1 Kisha Elihu akaendelea kusema: 2 “Nivumilie kidogo, nami nitakuonesha kitu; maana bado ninacho cha kusema kwa niaba ya Mungu. 3 Nitaleta hekima yangu kutoka mbali sana, na kuonesha kwamba…

Yobu 37

1 “Kutokana na hayo, moyo wangu unatetemeka, na kuruka kutoka mahali pake. 2 Sikilizeni ngurumo ya sauti ya Mungu, na mvumo wa sauti kutoka kinywani mwake. 3 Huufanya uenee chini…

Yobu 38

Mungu anamjibu Yobu 1 Hapo Mwenyezi-Mungu alimjibu Yobu kutoka dhoruba: 2 “Nani wewe unayevuruga mashauri yangu kwa maneno yasiyo na akili? 3 Jikaze kama mwanamume, nami nitakuuliza nawe utanijibu. 4…

Yobu 39

1 “Je, wajua mbuzi wa milimani huzaa lini, au umewahi kuona kulungu akizaa? 2 Je, wajua huchukua mimba kwa muda gani, au siku yenyewe ya kuzaa waijua? 3 “Wajua wakati…

Yobu 40

1 Mwenyezi-Mungu akaendelea kumwambia Yobu: 2 “Je, wewe mwenye kuchunguza makosa utashindana na Mungu Mwenye Nguvu? Wewe unayebishana nami Mungu, basi jibu mambo hayo!” 3 Kisha Yobu akamjibu Mwenyezi-Mungu: 4…

Yobu 41

1 “Yeyote anayeliona hilo dude, hufa moyo na kuzirai. 2 Hakuna mtu yeyote mkali athubutuye kulishtua. Nani, basi awezaye kusimama mbele yangu? 3 Nani aliyenipa kitu, ili nitakiwe kumrudishia? Chochote…

Yobu 42

1 Kisha Yobu akamjibu Mwenyezi-Mungu: 2 “Najua kwamba waweza kila kitu, lolote unalokusudia haliwezi kuzuiliwa. 3 Ulisema kuwa nilithubutu kutatiza mpango wako kijinga. Kweli nilitamka kitu ambacho sikuelewa mambo ya…

Zaburi 1

Furaha ya kweli 1 Heri mtu asiyefuata shauri la waovu, asiyeshiriki njia za wenye dhambi, wala kujumuika na wenye dharau; 2 bali huifurahia sheria ya Mwenyezi-Mungu, na kuitafakari mchana na…

Zaburi 2

Mfalme mteule wa Mungu 1 Kwa nini mataifa yanafanya ghasia? Mbona watu wanafanya njama za bure? 2 Wafalme wa dunia wanajitayarisha; watawala wanashauriana pamoja, dhidi ya Mwenyezi-Mungu na mteule wake….