Zaburi 33
Utenzi wa kumsifu Mungu 1 Shangilieni kwa sababu ya Mwenyezi-Mungu enyi waadilifu! Kumsifu Mungu ni wajibu wa watu wanyofu. 2 Msifuni Mwenyezi-Mungu kwa zeze; mwimbieni kwa kinubi cha nyuzi kumi….
Utenzi wa kumsifu Mungu 1 Shangilieni kwa sababu ya Mwenyezi-Mungu enyi waadilifu! Kumsifu Mungu ni wajibu wa watu wanyofu. 2 Msifuni Mwenyezi-Mungu kwa zeze; mwimbieni kwa kinubi cha nyuzi kumi….
Sifa kwa wema wa Mungu (Zaburi ya Daudi alipojifanya mwendawazimu mbele ya Abimeleki) 1 Nitamtukuza Mwenyezi-Mungu nyakati zote, sitaacha kamwe kuzitamka sifa zake. 2 Mimi nitaona fahari juu ya Mwenyezi-Mungu,…
Kuomba msaada (Zaburi ya Daudi) 1 Ee Mwenyezi-Mungu, uwapinge hao wanaonipinga; uwashambulie hao wanaonishambulia. 2 Utwae ngao yako na kingio lako, uinuke uje ukanisaidie! 3 Chukua mkuki na sime yako…
Uovu wa binadamu (Kwa Mwimbishaji. Zaburi ya Daudi, mtumishi wa Mwenyezi-Mungu) 1 Dhambi huongea na mtu mwovu, ndani kabisa moyoni mwake; jambo la kumcha Mungu halimo kabisa kwake. 2 Mwovu…
Kufanikiwa kwa waovu kusikufadhaishe (Zaburi ya Daudi) 1 Usihangaike kwa sababu ya waovu; usiwaonee wivu watendao mabaya. 2 Maana hao watatoweka mara kama nyasi; watanyauka kama mimea mibichi. 3 Mtumainie…
Sala katika mateso (Zaburi ya Daudi ya matoleo) 1 Ee Mwenyezi-Mungu, usinikemee kwa hasira yako; usiniadhibu kwa ghadhabu yako. 2 Mishale yako imenichoma; mkono wako umenigandamiza. 3 Hamna mahali nafuu…
Binadamu mbele ya Mungu (Kwa Mwimbishaji: Mtindo wa Yeduthuni. Zaburi ya Daudi) 1 Nilisema: “Nitayachunga maisha yangu, nisije nikatenda dhambi kwa usemi wangu. Nitafunga mdomo wangu waovu wawapo karibu nami.”…
Utenzi wa sifa (Kwa Mwimbishaji. Zaburi ya Daudi) 1 Nilimngojea Mwenyezi-Mungu kwa uvumilivu, akanielekea na kukisikia kilio changu. 2 Aliniondoa katika shimo la hatari, alinitoa katika matope ya dimbwi, akanisimamisha…
Sala ya mgonjwa (Kwa Mwimbishaji. Zaburi ya Daudi) 1 Heri mtu anayewajali maskini; Mwenyezi-Mungu atamwokoa wakati wa shida. 2 Mwenyezi-Mungu atamlinda na kumweka hai, naye atafanikiwa katika nchi; Mungu hatamwacha…
Sala ya Mkimbizi (Kwa Mwimbishaji. Utenzi wa Wakorahi) 1 Kama paa atamanivyo maji ya kijito, ndivyo ninavyokutamani, ee Mungu wangu! 2 Naona kiu ya Mungu, kiu ya Mungu aliye hai….