Zaburi 53

Mtu asiyemcha Mungu (Kwa Mwimbishaji: Mtindo wa Mahalathi. Utenzi wa Daudi) 1 Wapumbavu hujisemea moyoni: “Hakuna Mungu!” Wote wamepotoka kabisa, wametenda mambo ya kuchukiza; hakuna hata mmoja atendaye jema. 2…

Zaburi 54

Sala ya kujikinga na maadui (Kwa Mwimbishaji: Na ala za nyuzi za muziki. Utenzi wa Daudi wakati mtu mmoja kutoka Zifu alipomwendea Shauli na kumjulisha kuwa Daudi amejificha kwao.) 1…

Zaburi 55

Sala ya mtu anayedhulumiwa (Kwa Mwimbishaji: Na ala za nyuzi za muziki. Utenzi wa Daudi) 1 Ee Mungu, tega sikio usikie sala yangu; usiangalie pembeni ninapokuomba. 2 Unisikilize na kunijibu;…

Zaburi 56

Kumtumainia Mungu (Kwa Mwimbishaji: Mtindo “Njiwa Mkimya wa Mbali”. Utenzi wa Daudi baada ya kukamatwa na Wafilisti kule Gathi) 1 Ee Mungu, unionee huruma, maana watu wananishambulia. Mchana kutwa maadui…

Zaburi 57

Kuomba msaada (Kwa Mwimbishaji: Mtindo “Usiharibu!” Utenzi wa Daudi alipomponyoka Shauli na kujificha pangoni) 1 Unihurumie, ee Mungu, unihurumie, maana kwako nakimbilia usalama. Kivulini mwa mabawa yako nitakimbilia usalama, hata…

Zaburi 58

Mungu hakimu wa mahakimu (Kwa Mwimbishaji: Mtindo “Usiharibu”. Utenzi wa Daudi) 1 Enyi watawala,je, mwahukumu kwa haki kweli? Je, mnawahukumu watu kwa adili? 2 La! Nyinyi mwafikiria tu kutenda maovu;…

Zaburi 59

Sala ya kuomba ulinzi wa Mungu (Kwa Mwimbishaji: Mtindo “Usiharibu”. Utenzi wa Daudi wakati Shauli alipotuma wapelelezi wamuue) 1 Ee Mungu wangu, uniokoe na maadui zangu; unikinge na hao wanaonishambulia….

Zaburi 60

Ushindi baada ya kushindwa (Kwa Mwimbishaji: Mtindo wa Shushani Edut. Utenzi wa Daudi wa kufundisha, wakati alipopigana na Waaramu kutoka Naharaimu na Zoba, Yoabu aliporudi nyuma na kuwaua Waedomu 12,000…

Zaburi 61

Kuomba ulinzi (Kwa Mwimbishaji: Na ala za nyuzi za muziki. Zaburi ya Daudi) 1 Ee Mungu, usikie kilio changu, usikilize sala yangu. 2 Ninakulilia kutoka miisho ya dunia, nikiwa nimevunjika…

Zaburi 62

Mungu mlinzi wangu (Kwa Mwimbishaji: Mtindo wa Yeduthuni. Zaburi ya Daudi) 1 Namngojea Mungu peke yake kwa utulivu, kwake watoka wokovu wangu. 2 Yeye peke yake ndiye mwamba na wokovu…