Zaburi 83

Sala dhidi ya adui za Israeli (Zaburi ya Asafu. Wimbo) 1 Ee Mungu, usikae kimya! Usinyamaze ee Mungu, wala usitulie! 2 Tazama! Maadui zako wanafanya ghasia; wanaokuchukia wanainua vichwa kwa…

Zaburi 84

Hamu ya kuwa nyumbani kwa Mungu (Kwa Mwimbishaji: Mtindo wa Gitithi. Zaburi ya Wakorahi) 1 Jinsi gani yanavyopendeza makao yako, ee Mwenyezi-Mungu wa majeshi! 2 Nafsi yangu yatamani mno maskani…

Zaburi 85

Kuliombea fanaka taifa (Kwa Mwimbishaji. Zaburi ya Wakorahi) 1 Ee Mwenyezi-Mungu, umeifadhili nchi yako; umemjalia Yakobo bahati nzuri tena. 2 Umewasamehe watu wako kosa lao; umezifuta dhambi zao zote. 3…

Zaburi 86

Kuomba msaada (Sala ya Daudi) 1 Unitegee sikio, ee Mwenyezi-Mungu, unijibu, maana mimi ni fukara na mnyonge. 2 Uyahifadhi maisha yangu maana mimi ni mchaji wako; uniokoe mimi mtumishi wako…

Zaburi 87

Sifa ya Yerusalemu (Zaburi ya Wakorahi. Wimbo) 1 Mungu amejenga mji wake juu ya mlima wake mtakatifu. 2 Mwenyezi-Mungu anaupenda mji wa Siyoni, kuliko makao mengine ya Yakobo. 3 Mambo…

Zaburi 88

Kilio cha msaada (Wimbo. Zaburi ya Wakorahi. Kwa Mwimbishaji: Mtindo wa Mahalathi Nealothi. Utenzi wa Hemani Mwezrahi) 1 Ee Mwenyezi-Mungu, mwokozi wangu, ninalia mchana kutwa, na usiku nakulalamikia. 2 Sala…

Zaburi 89

Wakati wa taabu ya kitaifa (Utenzi wa Ethani Mwezrahi) 1 Ee Mwenyezi-Mungu, nitaimba fadhili zako milele; nitavitangazia vizazi vyote uaminifu wako. 2 Natamka kuwa fadhili zako zadumu milele; uaminifu wako…

Zaburi 90

Mungu wa milele na binadamu kiumbe (Sala ya Mose, mtu wa Mungu) 1 Ee Bwana, tangu vizazi vyote, wewe umekuwa usalamawetu. 2 Kabla ya kuwapo milima, kabla hujauumba ulimwengu; wewe…

Zaburi 91

Mungu mlinzi wetu 1 Anayekaa chini ya ulinzi wa Mungu Mkuu, anayeishi chini ya kivuli cha Mungu Mwenye Nguvu, 2 ataweza kumwambia Mwenyezi-Mungu: “Wewe ni kimbilio langu na ngome yangu;…

Zaburi 92

Wimbo wa kumsifu Mungu (Zaburi. Wimbo wa siku ya Sabato) 1 Ni vema kukushukuru, ee Mwenyezi-Mungu, kuliimbia sifa jina lako, ee Mungu Mkuu. 2 Ni vema kutangaza fadhili zako asubuhi,…