Zaburi 103

Sala kuu ya shukrani (Zaburi ya Daudi) 1 Ee nafsi yangu, umsifu Mwenyezi-Mungu; nafsi yangu yote ilisifu jina lake takatifu! 2 Ee nafsi yangu, umsifu Mwenyezi-Mungu! Usisahau kamwe wema wake…

Zaburi 104

Kumsifu Muumba 1 Umsifu Mwenyezi-Mungu, ee nafsi yangu! Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu, wewe ni mkuu mno! Umejivika utukufu na fahari. 2 Umejizungushia mwanga kama vazi, umezitandaza mbingu kama hema; 3…

Zaburi 105

Mungu na watu wake 1 Mshukuruni Mwenyezi-Mungu, tangazeni ukuu wake; yajulisheni mataifa mambo aliyotenda! 2 Mshangilieni, mwimbieni Mungu sifa; simulieni matendo yake ya ajabu! 3 Jisifieni jina lake takatifu; wenye…

Zaburi 106

Wema wa Mungu kwa watu wake 1 Haleluya! Msifuni Mwenyezi-Mungu! Mshukuruni Mwenyezi-Mungu kwa kuwa ni mwema; kwa maana fadhili zake zadumu milele! 2 Ni nani awezaye kutaja matendo ya Mwenyezi-Mungu?…

Zaburi 107

Sifa kwa Mungu mwema 1 Mshukuruni Mwenyezi-Mungu kwa kuwa ni mwema; kwa maana fadhili zake zadumu milele! 2 Semeni hivyo, enyi mliokombolewa na Mwenyezi-Mungu, watu ambao aliwaokoa katika taabu, 3…

Zaburi 108

Sala ya kujikinga na maadui (Zaburi ya Daudi: Wimbo) 1 Niko thabiti moyoni, ee Mungu, naam, niko thabiti moyoni; nitaimba na kukushangilia! Amka, ee nafsi yangu! 2 Amkeni enyi kinubi…

Zaburi 109

Lalamiko la mtu taabuni (Kwa Mwimbishaji. Wimbo wa Daudi) 1 Usinyamaze, ee Mungu ninayekusifu! 2 Watu waovu na wadanganyifu wanishambulia, wanasema uongo dhidi yangu. 3 Wanasema maovu juu yangu, na…

Zaburi 110

Kutawazwa kwa mfalme mteule (Zaburi ya Daudi) 1 Mwenyezi-Mungu amwambia bwana wangu: “Keti upande wangu wa kulia, hata niwaweke maadui zako chini ya miguu yako.” 2 Mwenyezi-Mungu ataeneza enzi yako…

Zaburi 111

Mungu asifika kwa matendo yake 1 Msifuni Mwenyezi-Mungu! Nitamshukuru Mwenyezi-Mungu kwa moyo wangu wote, nikijumuika na jamii ya watu waadilifu. 2 Matendo ya Mwenyezi-Mungu ni makuu mno! Wote wanaoyafurahia huyatafakari….

Zaburi 112

Furaha ya mtu mwema 1 Msifuni Mwenyezi-Mungu! Heri mtu anayemcha Mwenyezi-Mungu, anayefurahia sana kutii amri zake. 2 Wazawa wake watakuwa wenye nguvu nchini; watoto wa wanyofu watapata baraka. 3 Nyumbani…