Zaburi 113
Sifa kwa Mungu mtukufu 1 Msifuni Mwenyezi-Mungu! Enyi watumishi wa Mwenyezi-Mungu, lisifuni jina lake! 2 Jina lake litukuzwe, sasa na hata milele. 3 Kutoka mashariki na hata magharibi, litukuzwe jina…
Sifa kwa Mungu mtukufu 1 Msifuni Mwenyezi-Mungu! Enyi watumishi wa Mwenyezi-Mungu, lisifuni jina lake! 2 Jina lake litukuzwe, sasa na hata milele. 3 Kutoka mashariki na hata magharibi, litukuzwe jina…
Mungu na watu wake 1 Watu wa Israeli walipotoka Misri, wazawa wa Yakobo walipotoka ugenini, 2 Yuda ikawa maskani ya Mungu, Israeli ikawa milki yake. 3 Bahari iliona hayo ikakimbia;…
Mungu mmoja wa kweli 1 Sio sisi, ee Mwenyezi-Mungu, sio sisi; bali wewe peke yako utukuzwe, kwa ajili ya fadhili zako na uaminifu wako. 2 Kwa nini mataifa yaseme: “Mungu…
Shukrani kwa kuokolewa kifoni 1 Nampenda Mwenyezi-Mungu, kwa maana anisikia, maana amesikia kilio cha ombi langu. 2 Yeye amenitegea sikio, hivyo nitamwomba muda wote niishio. 3 Hatari ya kifo ilinizunguka,…
Kumsifu Mungu 1 Enyi mataifa yote, msifuni Mwenyezi-Mungu! Enyi watu wote mhimidini! 2 Maana fadhili zake kwetu sisi ni kuu; uaminifu wake Mwenyezi-Mungu wadumu milele! Msifuni Mwenyezi-Mungu!
Sala ya shukrani 1 Mshukuruni Mwenyezi-Mungu, kwa kuwa ni mwema, kwa maana fadhili zake zadumu milele. 2 Watu wa Israeli na waseme: “Fadhili zake zadumu milele.” 3 Wazawa wa Aroni…
Sheria ya Mungu 1 Heri watu wanaoishi bila kosa, wanaozingatia sheria ya Mwenyezi-Mungu. 2 Heri wanaozingatia matakwa yake, wanaomtafuta kwa moyo wao wote, 3 watu wasiotenda uovu kamwe, bali daima…
Kuomba msaada (Wimbo wa Kwenda Juu ) 1 Katika taabu yangu nilimwita Mwenyezi-Mungu, naye akanijibu. 2 Uniokoe ee Mwenyezi-Mungu, na watu wadanganyifu na waongo. 3 Enyi watu wadanganyifu, mtapewa kitu…
Mungu kinga yetu (Wimbo wa Kwenda Juu, wa Daudi) 1 Natazama juu milimani; msaada wangu utatoka wapi? 2 Msaada wangu watoka kwa Mwenyezi-Mungu, aliyeumba mbingu na dunia. 3 Hatakuacha uanguke;…
Sifa za Yerusalemu (Wimbo wa Kwenda Juu, wa Daudi) 1 Nilifurahi waliponiambia: “Twende nyumbani kwa Mwenyezi-Mungu.” 2 Sasa tuko tumesimama, kwenye malango yako, ee Yerusalemu! 3 Yerusalemu, mji uliojengwa, ili…