Mhubiri 2

1 Basi, nikawaza; “Ngoja nijitumbukize katika starehe, nijifurahishe.” Lakini, niligundua kwamba kufanya hivyo ni bure kabisa. 2 Nikasema kuhusu kicheko, “Ni wazimu”, na starehe “Mna faida gani?” 3 Nilifikiria sana,…

Mhubiri 3

Mungu amepanga kila kitu 1 Kila kitu kina majira yake, kila jambo duniani lina wakati wake: 2 Wakati wa kuzaliwa na wakati wa kufa; wakati wa kupanda na wakati wa…

Mhubiri 4

1 Kisha nikaona udhalimu wote unaofanyika duniani. Watu wanaokandamizwa hulia machozi, lakini hakuna yeyote anayewafariji. Wakandamizaji wao wana nguvu, ndiyo sababu hakuna wa kuwafariji. 2 Basi, nikafikiri moyoni kuwa wafu…

Mhubiri 5

Ahidi kwa tahadhari 1 Uwe mwangalifu uendapo katika nyumba ya Mungu, na kukaribia ili kusikiliza kwa makini kuliko kutambika kama watambikavyo wapumbavu, watu wasiopambanua kati ya jema na ovu. 2…

Mhubiri 6

1 Nimeona jambo moja ovu hapa duniani, linalowakandamiza watu: 2 Mungu humjalia mtu utajiri, mali na heshima, asitindikiwe kitu chochote anachotamani, lakini hampi uwezo wa kuvifurahia vitu hivyo; badala yake,…

Mhubiri 7

Mawaidha kuhusu maisha 1 Sifa njema ni bora kuliko marashi ya thamani. Siku ya kufa ni bora kuliko siku ya kuzaliwa. 2 Afadhali kwenda kwenye matanga, kuliko kwenda kwenye karamu,…

Mhubiri 8

1 Nani aliye kama mwenye hekima? Nani ajuaye hali halisi ya vitu? Hekima humletea mtu tabasamu, huubadilisha uso wake mwenye huzuni. Mtii mfalme 2 Tii amri ya mfalme, kwa sababu…

Mhubiri 9

1 Nilitafakari juu ya hayo yote, nikaona kwamba Mungu anaongoza matendo ya watu wenye hekima na waadilifu; ikiwa ni upendo au chuki, binadamu hajui. Kila kitu kwao ni bure kabisa,…

Mhubiri 10

1 Nzi waliokufa husababisha marashi kunuka; upumbavu kidogo hubatilisha hekima na heshima. 2 Moyo wa mwenye hekima humwongoza kutenda yaliyo sawa; lakini mtu mpumbavu moyo wake humpotosha. 3 Hata apitapo…

Mhubiri 11

Afanyavyo mwenye busara 1 Jishughulishe na biashara hata kama kwa kubahatisha; yawezekana baadaye ukapata chochote kile. 2 Wagawie watu saba hata wanane sehemu yako, maana, hujui balaa litakalofika duniani. 3…