Yeremia 46

1 Neno la Mwenyezi-Mungu lililomjia Yeremia kuhusu watu wa mataifa. Tamko la Mwenyezi-Mungu juu ya Misri 2 Kuhusu Misri na jeshi la Farao Neko mfalme wa Misri, lililokuwa huko Karkemishi…

Yeremia 47

Tamko la Mwenyezi-Mungu juu ya Filistia 1 Neno la Mwenyezi-Mungu lililomjia nabii Yeremia kuhusu Wafilisti, kabla Farao hajaushambulia mji wa Gaza: 2 Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Tazama! Maji yanapanda kutoka kaskazini,…

Yeremia 48

Moabu 1 Mwenyezi-Mungu wa majeshi, Mungu wa Israeli, asema hivi: “Ole watu wa Nebo, maana mji wake umeharibiwa! Kiriathaimu umeaibishwa, umetekwa, ngome yake imebomolewa mbali; 2 fahari ya Moabu imetoweka….

Yeremia 49

Waamoni 1 Kuhusu Waamoni. Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Je, Israeli hana watoto? Je, hana warithi? Mbona basi mungu Milkomu amemiliki Gadi na watu wake kufanya makao yao mijini mwake? 2 Basi,…

Yeremia 50

Babuloni 1 Neno la Mwenyezi-Mungu alilosema kwa njia ya nabii Yeremia kuhusu nchi ya Babuloni na nchi ya Wakaldayo: 2 “Tangazeni kati ya mataifa, twekeni bendera na kutangaza, Msifiche lolote….

Yeremia 51

1 Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Nitachochea upepo wa kuangamiza dhidi ya Babuloni, dhidi ya wakazi wa Kaldayo. 2 Nitawapeleka wapepetaji Babuloni, nao watampepeta; watamaliza kila kitu katika nchi yake watakapofika kuishambulia…

Yeremia 52

Maangamizi ya Yerusalemu 1 Sedekia alikuwa na umri wa miaka ishirini na mmoja alipoanza kutawala. Alitawala kwa muda wa miaka kumi na mmoja huko Yerusalemu. Mama yake aliitwa Hamutali binti…

Maombolezo 1

1 Ajabu mji uliokuwa umejaa watu, sasa wenyewe umebaki tupu! Ulikuwa maarufu kati ya mataifa; sasa umekuwa kama mama mjane. Miongoni mwa miji ulikuwa kama binti mfalme; sasa umekuwa mtumwa…

Maombolezo 2

Adhabu ya Yerusalemu 1 Mwenyezi-Mungu, kwa hasira yake, amewaweka watu wa Siyoni gizani. Fahari ya Israeli ameibwaga chini. Siku ya hasira yake alilitupilia mbali hata hekalu lake. 2 Mwenyezi-Mungu ameharibu…

Maombolezo 3

Adhabu, toba na tumaini 1 Mimi ni mtu niliyepata mateso kwa fimbo ya ghadhabu yake Mungu. 2 Amenichukua akanipeleka mpaka gizani kusiko na mwanga. 3 Amenyosha mkono wake dhidi yangu…