Ezekieli 9

Kuadhibiwa kwa Yerusalemu 1 Kisha nikamsikia Mwenyezi-Mungu akisema kwa sauti kubwa: “Njoni karibu nyinyi mtakaouadhibu mji huu. Njoni na silaha zenu za kuangamiza.” 2 Watu sita wakaja kutoka upande wa…

Ezekieli 10

Utukufu wa Mwenyezi-Mungu unaondoka hekaluni 1 Kisha nikaona kwamba katika lile anga juu ya vichwa vya viumbe wenye mabawa kulikuwa na kitu kinachofanana na johari ya rangi ya samawati, umbo…

Ezekieli 11

Dhambi ya Yerusalemu 1 Roho ya Mungu ikaninyanyua na kunipeleka mpaka lango la mashariki la nyumba ya Mwenyezi-Mungu. Huko nikawaona watu ishirini na watano wakiwamo Yaazania mwana wa Azuri na…

Ezekieli 12

Nabii kama mkimbizi 1 Neno la Mwenyezi-Mungu likanijia: 2 “Wewe mtu! Wewe unakaa kati ya watu waasi. Wana macho lakini hawaoni; wana masikio lakini hawasikii. 3 Wao ni watu waasi….

Ezekieli 13

Manabii wa uongo 1 Neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia: 2 “Wewe mtu, wakaripie manabii wa Israeli wanaotangaza mambo ambayo wameyafikiria wao wenyewe. Waambie wasikilize yale ambayo mimi Mwenyezi-Mungu ninasema. 3 Mimi…

Ezekieli 14

Mungu analaumu ibada za sanamu 1 Siku moja baadhi ya wazee wa Israeli walinitembelea kutaka shauri. 2 Basi neno la Mwenyezi-Mungu likanijia: 3 “Wewe mtu, watu hawa wamekubali mioyo yao…

Ezekieli 15

Mfano wa mzabibu 1 Neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia: 2 “Wewe mtu! Je, mti wa mzabibu ni bora kuliko miti mingine msituni? 3 Je, mti wake wafaa kutengenezea kitu chochote? Je,…

Ezekieli 16

Mji wa Yerusalemu si mwaminifu 1 Neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia: 2 “Wewe mtu, ujulishe mji wa Yerusalemu machukizo yake. 3 Uuambie kuwa, mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nauambia Yerusalemu: Kwa asili wewe…

Ezekieli 17

Mfano wa tai na mzabibu 1 Neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia: 2 “Wewe mtu! Tega kitendawili, uwaambie fumbo Waisraeli. 3 Waambie kuwa mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Kulikuwa na tai mmoja…

Ezekieli 18

Mungu humhukumu kila mtu kadiri ya matendo yake 1 Neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia: 2 “Kwa nini mnarudiarudia methali hii katika nchi ya Israeli: ‘Akina baba wamekula zabibu mbichi, lakini meno…