Ezekieli 19
Maombolezo 1 Mungu aliniambia niimbe utenzi huu wa maombolezo kuhusu wakuu wa Israeli: 2 Mama yenu alikuwa simba wa fahari miongoni mwa simba wengine. Alikaa kati ya simba vijana, akawalisha…
Maombolezo 1 Mungu aliniambia niimbe utenzi huu wa maombolezo kuhusu wakuu wa Israeli: 2 Mama yenu alikuwa simba wa fahari miongoni mwa simba wengine. Alikaa kati ya simba vijana, akawalisha…
Mungu anawaongoza Waisraeli ingawa ni waasi 1 Mwaka wa saba tangu kuhamishwa kwetu, siku ya kumi ya mwezi wa tano, baadhi ya wazee wa Israeli walikuja kumwuliza Mwenyezi-Mungu shauri, wakaketi…
Upanga wa Mwenyezi-Mungu 1 Neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia: 2 “Wewe mtu, ugeukie mji wa Yerusalemu, uhubiri dhidi ya sehemu zake za ibada, na kutoa unabii juu ya nchi ya Israeli….
Makosa ya Yerusalemu 1 Neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia: 2 “Ewe mtu! Uko tayari kutoa hukumu, kuuhukumu mji huu wa wauaji? Basi, ujulishe machukizo yake yote. 3 Uambie, mimi Bwana Mwenyezi-Mungu…
Samaria ni mzinzi 1 Neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia: 2 “Wewe mtu! Palikuwa na binti wawili, wote wa mama mmoja. 3 Walipokuwa vijana tu, wakiwa wanakaa kule Misri, wakakubali matiti yao…
Chungu kibovu 1 Mnamo siku ya kumi, mwezi wa kumi, mwaka wa tisa tangu kuhamishwa kwetu, neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia: 2 “Wewe mtu! Andika tarehe ya siku ya leo, maana…
Unabii dhidi ya Amoni 1 Neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia: 2 “Wewe mtu! Wageukie Waamoni, ukatoe unabii dhidi yao. 3 Waambie Waamoni: Sikilizeni neno la Bwana Mwenyezi-Mungu: Nyinyi mlifurahia kuona maskani…
Unabii juu ya Tiro 1 Mnamo siku ya kwanza ya mwezi, mwaka wa kumi na moja tangu kuhamishwa kwetu, neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia: 2 “Wewe mtu! Watu wa Tiro wameucheka…
Maombolezo juu ya Tiro 1 Neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia: 2 “Sasa ewe mtu, imba utenzi huu wa maombolezo juu ya mji wa Tiro, 3 mji ule kando ya bahari, unaofanya…
Unabii juu ya mfalme wa Tiro 1 Neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia: 2 “Wewe mtu! Mwambie mfalme wa Tiro kuwa mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Wewe una kiburi cha moyo, na…