Danieli 11
1 “ ‘Lakini kwa upande wangu mimi, katika mwaka wa kwanza wa mfalme Dario Mmedi, nilijitoa kumthibitisha na kumtia nguvu. 2 Sasa nitakueleza ule ukweli wa mambo haya. Falme za…
1 “ ‘Lakini kwa upande wangu mimi, katika mwaka wa kwanza wa mfalme Dario Mmedi, nilijitoa kumthibitisha na kumtia nguvu. 2 Sasa nitakueleza ule ukweli wa mambo haya. Falme za…
Wakati wa mwisho 1 “ ‘Wakati huo, Mikaeli, malaika mkuu, aliye mlinzi wa watu wako, atatokea. Ndipo kutakuwa na wakati wa taabu sana kuliko nyakati nyingine zote tangu mataifa yalipoanza…
1 Neno la Bwana lililomjia Hosea mwana wa Beeri, nyakati za Uzia, Yothamu, Ahazi na Hezekia, wafalme wa Yuda, na Yeroboamu mwana wa Yoashi, mfalme wa Israeli. Mke na watoto…
1 Basi, waiteni kaka zenu, “Watu wangu,” na dada zenu, “Waliohurumiwa.” Mke mzinzi – taifa potovu la Israeli 2 Mlaumuni mama yenu mlaumuni, maana sasa yeye si mke wangu wala…
Hosea na mwanamke mzinzi 1 Mwenyezi-Mungu aliniambia, “Nenda tena ukampende mwanamke anayependwa na mwanamume mwingine na ambaye ni mzinzi. Mpende kama mimi Mwenyezi-Mungu ninavyowapenda Waisraeli, ingawa wao wanaigeukia miungu mingine…
Mungu awalaumu watu wake 1 Msikilizeni Mwenyezi-Mungu, enyi Waisraeli. Mwenyezi-Mungu anawashutumu wakazi wa nchi hii. “Hamna tena uaminifu wala wema nchini; hamna anayemjua Mungu katika nchi hii. 2 Kuapa, uongo,…
Wakufunzi wabaya wa Israeli 1 “Haya! Sikilizeni enyi makuhani! Tegeni sikio, enyi Waisraeli! Sikilizeni enyi ukoo wa kifalme! Nyinyi mlipaswa kuzingatia haki, badala yake mmekuwa mtego huko Mizpa, mmekuwa wavu…
Toba isiyo ya kweli 1 “ ‘Twendeni, tukamrudie Mwenyezi-Mungu! Yeye mwenyewe ameturarua, lakini yeye mwenyewe atatuponya. Yeye mwenyewe ametujeruhi, lakini yeye mwenyewe atatibu majeraha yetu. 2 Baada ya siku mbili,…
1 Kila nikitaka kuwarekebisha watu wangu, ninapotaka kuwaponya Waisraeli, uovu wa watu wa Efraimu hufunuliwa, matendo mabaya ya Samaria hujitokeza. Wao huongozwa na udanganyifu, kwenye nyumba wezi huvunja nje barabarani…
Makosa makuu ya Israeli 1 “Pigeni baragumu! Adui anakuja kama tai kuivamia nyumba ya Mwenyezi-Mungu, kwa kuwa wamelivunja agano langu na kuiasi sheria yangu. 2 Waisraeli hunililia wakisema: ‘Mungu wetu,…