Yona 2

Sala ya Yona 1 Basi, Yona, akiwa tumboni mwa samaki huyo, akawa akimwomba Mwenyezi-Mungu, Mungu wake, 2 akisema: “Kwa sababu ya taabu yangu, nilikuomba, ee Mwenyezi-Mungu, nawe ukanisikiliza; toka chini…

Yona 3

Yona anafuata agizo la Mungu 1 Neno la Mwenyezi-Mungu likamjia Yona mara ya pili: 2 “Nenda Ninewi, ule mji mkuu, ukawatangazie watu ujumbe niliokupa.” 3 Basi, Yona akaondoka, akaenda Ninewi…

Yona 4

Yona anakasirika kwa sababu Mungu ana huruma 1 Lakini jambo hilo halikumpendeza Yona hata kidogo, akakasirika sana. 2 Kwa hiyo akaomba, “Mwenyezi-Mungu, je, hayo si mambo yaleyale niliyowaza utayafanya nilipokuwa…

Mika 1

1 Neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia Mika, mwenyeji wa Moreshethi, wakati Yothamu, Ahazi na Hezekia walipokuwa wafalme wa Yuda. Mika aliona mambo yote haya kuhusu Samaria na Yerusalemu. Mwenyezi-Mungu aja kuhukumu…

Mika 2

Mika na wapinzani wake 1 Ole wao wanaopanga kutenda maovu wanaolala usiku wakiazimia uovu! Mara tu kunapopambazuka, wanayatekeleza kwani wanao uwezo. 2 Hutamani mashamba na kuyatwaa; wakitaka nyumba, wananyakua. Huwadhulumu…

Mika 3

Mika anawashutumu viongozi wa Israeli 1 Sasa sikilizeni enyi wakuu wa wazawa wa Yakobo, sikilizeni, enyi watawala wa wazawa wa Israeli! Nyinyi ndio mnaopaswa kujua mambo ya haki. 2 Lakini…

Mika 4

Mungu atatawala watu wote kwa amani 1 Utakuja wakati ambapo mlima wa nyumba ya Mwenyezi-Mungu utakuwa mkubwa kuliko milima yote. Naam, utakwezwa juu ya vilima vyote. Watu wengi watamiminika huko,…

Mika 5

Kiongozi mpya kutoka Bethlehemu 1 Jumuikeni mkajikusanye enyi watu wa Yerusalemu; mkisema: “Tumezingirwa, tumesongwa; naye kiongozi wa Israeli wanampiga shavuni kwa fimbo.” 2 Mwenyezi-Mungu asema, “Lakini wewe Bethlehemu katika Efratha,…

Mika 6

Lalamiko la nabii 1 Sikilizeni anachosema Mwenyezi-Mungu: “Wewe nabii, nenda ukailalamikie milima, navyo vilima visikie sauti yako.” 2 Sikilizeni kesi ya Mwenyezi-Mungu enyi milima, sikilizeni enyi misingi ya kudumu ya…

Mika 7

Lalamiko la nabii 1 Ole wangu! Hali ilivyo ni kama baada ya mavuno; hakuna tini za mwanzoni ninazotamani. Ni kama wakati wa kuchuma zabibu hakuna hata shada moja la zabibu…