Nahumu 1

1 Kauli ya Mungu juu ya Ninewi. Kitabu cha maono ya Nahumu wa Elkoshi. Ghadhabu ya Mungu dhidi ya Ninewi 2 Mwenyezi-Mungu ni Mungu mwenye wivu, mlipiza kisasi; Mwenyezi-Mungu hulipiza…

Nahumu 2

Kuanguka kwa Ninewi 1 Mwangamizi amekuja kukushambulia ee Ninewi. Chunga ngome zako! Weka ulinzi barabarani! Jiweke tayari! Kusanya nguvu zako zote! 2 Mwenyezi-Mungu anamrudishia Yakobo fahari yake, naam, anawapa tena…

Nahumu 3

1 Ole wako mji wa mauaji! Umejaa udanganyifu mtupu na nyara tele, usiokoma kamwe kuteka nyara. 2 Sikia! Mlio wa mjeledi, mrindimo wa magurudumu, vishindo vya farasi na ngurumo za…

Habakuki 1

1 Kauli ya Mungu aliyoiona nabii Habakuki. Lalamiko la nabii 2 “Ee Mwenyezi-Mungu, nitakulilia mpaka lini, nawe usinisikilize na kunisaidia? Kwa nini nalia: ‘Dhuluma’ nawe hutuokoi? 3 Kwa nini wanifanya…

Habakuki 2

1 Mimi nitasimama mahali pa kuchungulia, na kukaa juu mnarani; nitakaa macho nione ataniambia nini, atajibu nini kuhusu lalamiko langu.” Mungu anamjibu Habakuki 2 Kisha, Mwenyezi-Mungu akanijibu hivi: “Yaandike maono…

Habakuki 3

Sala ya Habakuki 1 Sala ya nabii Habakuki: 2 Ee Mwenyezi-Mungu, nimesikia juu ya fahari yako, juu ya matendo yako, nami naogopa. Uyafanye tena mambo hayo wakati wetu; uyafanye yajulikane…

Sefania 1

1 Neno la Mwenyezi-Mungu lililomjia Sefania mwana wa Kushi, mwana wa Gedalia, mwana wa Amenia, mwana wa Hezekia, wakati wa utawala wa mfalme Yosia mwana wa Amoni, mfalme wa Yuda:…

Sefania 2

Mwito wa toba 1 Kusanyikeni, kusanyikeni enyi taifa la watu wasio na aibu, 2 kabla hamjapeperushwa mbali kama makapi, kabla haijawajia siku ya hasira kali ya Mwenyezi-Mungu, kabla haijawajia siku…

Sefania 3

Hukumu ya Yerusalemu 1 Ole wake mji wa Yerusalemu, mji mchafu, najisi na mdhalimu. 2 Hausikilizi onyo lolote, wala haukubali kukosolewa. Haukumtegemea Mwenyezi-Mungu kamwe, wala kumkaribia Mungu wake. 3 Viongozi…

Hagai 1

Mungu aamuru hekalu lijengwe upya 1 Siku ya kwanza ya mwezi wa sita mwaka wa pili wa utawala wa mfalme Dario wa Persia, Mwenyezi-Mungu alimpa Hagai ujumbe aupeleke kwa Zerubabeli…